Jinsi ya kujikinga na saratani kwa kuepuka kutumia vyombo vya plastiki

Jinsi ya kujikinga na saratani kwa kuepuka kutumia vyombo vya plastiki

Basi tutakufa wengi, make ni zaidi ya 10yrs tunakula kiepe kwenye mfuko.

Vikombe vya plasstic ndio vimetukuza, wazazi wetu ndio vimewakuza mpkaa saiv ni wakongwe mbona hawajafa kwa cancer
 
Mhh vipo vingi kama vyote vinawezekana sidhani
 
Hiyo habari haina source yeyote ya kuaminika, uzushi mtupu kutisha watu!
 
Ingeeleza ni aina gani ya cancer maana zipo hadi za tezi dume na jike pia lakini ebu jaribu kufanya tafiti ndogo tu.....matajiri na masikini hasa wale wanaoishi vijiji ni akina nani wanaohathirika zaidi?kuna watu hawajawahi kutumia aina tofauti na vyombo vya plastic maisha yao yote na wapo bomba kabisa na maradhi hayo hadi wameondoka duniani kwa njia nyingine tu na angalia hao waioko ikulu hayo maradhi yamewajia....inawezekana hii taarifa ni verse vesa.
 
juzi nimesoma kwenye tovuti ya BBC kuwa zaidi ya asilimia 70 ya cancer zinatokea bahati mbaya hazina sababu yoyote tu. cancer ya mapafu na ini ndizo zinachangiwa na unywaji pombe sana pamoja sigara.
Lakini cancer nyingine imegundulika kuwa zinatokea tu bila vichocheo vyovyote.
 
Haya maradhi mengine haya kweli wameleta wazungu uwongo huo
 
Kifo kipo karibu sana na mwanadamu hata zaidi ya umbali kati ya unyayo wake na sori ya kiatu chake.....hapa nina maanisha kuwa maisha ya mwanadamu hapa duniani ni mafupi sana...kiasi kwamba hamna sababu ya kujivuna kuishi maisha mazuri na ya anasa hapa duniani kwani wakati wake ni mdogo sana.....
Vile vile kwa kuwa kufa ni lazima na kuishi ni bahati...basi hakuna sababu ya kukiogopa kifo...kwani uoga wako , wasi wasi wako na hofu yako havitakusaidia siku yako itakapotimia...suluhu pekee ni kujiandaa na kifo mahala popote na wakati wowote kwani haijulikani siku wala saa ambayo mwanadamu atanyakuliwa.....
Na njia pekee ya kuijiandaa na kifo kufanya yale ambayo yanampendeza MUNGUM wakati wote na kuyaacha yale aliyoyakataza.....
AMEN...
 
Lkn kuchukua tahadhari pia ni mhimu, vyote vyaenda pamoja na kumuomba mungu, mungu asema jisaidieni nami nitawasaidia.
 
Back
Top Bottom