Jinsi ya Kujikinga na Watekaji Nyara

Jinsi ya Kujikinga na Watekaji Nyara

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
images (35).jpeg
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano wako bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao.

Iwapo watu wanaodai kuwa maafisa wa upelelezi au polisi wanakuja kukukamata bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao, hapa ni baadhi ya hatua unazoweza kuchukua ili kujikinga:

Usiwasaidie kwa chochote, Usiwasaidie watu hawa kwa namna yoyote ile. Usiwape taarifa yoyote kuhusu wewe au kuhusu mali zako. Usiwape funguo za nyumba au gari lako, usiwape ushirikiano wa aina yoyote.
images (34).jpeg
Usiwajibu chochote ambacho kitawapa nafasi ya kukitumia juu yako! Kama wapo ndani kwako basi fungulia hata mbwa wako.

Usiingie kwenye gari lao: Usiingie kwenye gari la watu hawa hata kama wanakutishia. Ni bora kukaa mbali nao na kutafuta msaada kutoka kwa watu wengine. Usifanye makosa ya kukubali kuwa wanakupeleka sehemu salama, hakuna sehemu salama zaidi ya makazi yako, sehemu unayoweka mwili wako hapo kwako ndo sehemu salama.
images (33).jpeg
Piga kelele na kuita watu: Ikiwa unaona kwamba unatishiwa, piga kelele na kuvutia watu. Unaweza pia kupiga simu ya dharura kwa polisi ingawa kwa hali ilivyo sio rahisi kupata msaada wa polisi kupitia namba ya dharura. Dhamana ya kulinda maisha yako ipo juu yako, watachagua wao yupi anaenda Mortuary na yupi ataondoka hai.

Tumia simu yako ya mkononi vizuri, Ikiwa una simu ya mkononi, tumia kupiga simu kwa mtu wa karibu. Unaweza pia kutuma ujumbe wa maandishi kwa rafiki au mwanafamilia ili kuwafahamisha hali yako. Mbali na hivyo unaweza kurekodi sauti zao wakiongea hii inaweza kusaidia kwenye kuwatambu vyema.
images (32).jpeg
Usiwe na wasiwasi kuuliza maswali, Ikiwa watu hawa wanakuuliza maswali, usiwe na wasiwasi kuuliza maswali mwenyewe. Unaweza kuwauliza majina yao, namba zao za kitambulisho, na sababu ya wao kuja kwako. Unaweza pia kuwauliza kama wana hati ya kukukamata.

Ikiwa una shaka yoyote kuhusu watu hawa, ni bora kuwa makini na kuchukua hatua za kujikinga. Kumbuka, usalama wako ndio jambo la muhimu zaidi. Tumia muda wako kujifunza self defence, endapo mtu akijaribu kutumia nguvu kupitiliza basi uwe na uwezo wa kujilinda, endapo mtu atakulazimisha kwenda kwa kukukaba basi ukimbariki na ngumi ya koo nadhani itakuwa ni GG ya maana kabsa.
images (35).jpeg
Kuna nyufa nyingi kwenye utendaji kazi wa mamlaka za usalama ambazo ni katika nyufa hizi ndipo wahuni wanapitia humo humo. Kikundi cha wahuni kinamshika mtu na kumhifadhi kituo cha polisi? Na polisi wanadai kuwa mtekwaji hawajui alipo? Serious!?!

Dawa ya hawa wahuni ipo jikoni, siku zimeisha!
 
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
View attachment 3150946

Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano wako bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao.

Iwapo watu wanaodai kuwa maafisa wa upelelezi au polisi wanakuja kukukamata bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao, hapa ni baadhi ya hatua unazoweza kuchukua ili kujikinga:

Usiwasaidie kwa chochote, Usiwasaidie watu hawa kwa namna yoyote ile. Usiwape taarifa yoyote kuhusu wewe au kuhusu mali zako. Usiwape funguo za nyumba au gari lako, usiwape ushirikiano wa aina yoyote.
View attachment 3150947

Usiwajibu chochote ambacho kitawapa nafasi ya kukitumia juu yako! Kama wapo ndani kwako basi fungulia hata mbwa wako.

Usiingie kwenye gari lao: Usiingie kwenye gari la watu hawa hata kama wanakutishia. Ni bora kukaa mbali nao na kutafuta msaada kutoka kwa watu wengine. Usifanye makosa ya kukubali kuwa wanakupeleka sehemu salama, hakuna sehemu salama zaidi ya makazi yako, sehemu unayoweka mwili wako hapo kwako ndo sehemu salama.
View attachment 3150948

Piga kelele na kuita watu: Ikiwa unaona kwamba unatishiwa, piga kelele na kuvutia watu. Unaweza pia kupiga simu ya dharura kwa polisi ingawa kwa hali ilivyo sio rahisi kupata msaada wa polisi kupitia namba ya dharura. Dhamana ya kulinda maisha yako ipo juu yako, watachagua wao yupi anaenda Mortuary na yupi ataondoka hai.

Tumia simu yako ya mkononi vizuri, Ikiwa una simu ya mkononi, tumia kupiga simu kwa mtu wa karibu. Unaweza pia kutuma ujumbe wa maandishi kwa rafiki au mwanafamilia ili kuwafahamisha hali yako. Mbali na hivyo unaweza kurekodi sauti zao wakiongea hii inaweza kusaidia kwenye kuwatambu vyema.
View attachment 3150949

Huo mda wa kuwasiliana na simu unatoa wapi? Kwani wanakuandaa? Wanakuzoa mzobe mzobe.

Labda useme uwe unatembea na silaha yeyote Ili wakianza kukuzonga tumia hiyo au tumia ngumu.
 
Kwahiyo ukiwa ndani ya nyumba yako utabaki unazunguka ukiwasubiria waingie!?
Kwani wanakupa hiyo nafasi? Kuna wanahonga kama.majirani lazima utaenda kuwasililiza hapo hapo hujanipanga wanakudaka ,hapo kwako labda usaidiwe na walioko ndani Kwa kupiga yowe.
 
Tumia na mbinu nyingine yoyote ya kuokoa maisha yako maana ukishaingia kwenye 18 za watekaji umekwisha.
 
da!!!
Katika siku za hivi karibuni, visa vya utekaji nyara vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Watekaji nyara hawa mara nyingi hujifanya kuwa maafisa wa upelelezi au polisi ili kuwateka nyara watu.
Hata hivyo, ni muhimu kujua kwamba maafisa halisi wa upelelezi au polisi hawatawahi kuomba ushirikiano wako bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao.

Iwapo watu wanaodai kuwa maafisa wa upelelezi au polisi wanakuja kukukamata bila kuonyesha uthibitisho sahihi wa utambulisho wao, hapa ni baadhi ya hatua unazoweza kuchukua ili kujikinga:

Usiwasaidie kwa chochote, Usiwasaidie watu hawa kwa namna yoyote ile. Usiwape taarifa yoyote kuhusu wewe au kuhusu mali zako. Usiwape funguo za nyumba au gari lako, usiwape ushirikiano wa aina yoyote.
Usiwajibu chochote ambacho kitawapa nafasi ya kukitumia juu yako! Kama wapo ndani kwako basi fungulia hata mbwa wako.

Usiingie kwenye gari lao: Usiingie kwenye gari la watu hawa hata kama wanakutishia. Ni bora kukaa mbali nao na kutafuta msaada kutoka kwa watu wengine. Usifanye makosa ya kukubali kuwa wanakupeleka sehemu salama, hakuna sehemu salama zaidi ya makazi yako, sehemu unayoweka mwili wako hapo kwako ndo sehemu salama.
Piga kelele na kuita watu: Ikiwa unaona kwamba unatishiwa, piga kelele na kuvutia watu. Unaweza pia kupiga simu ya dharura kwa polisi ingawa kwa hali ilivyo sio rahisi kupata msaada wa polisi kupitia namba ya dharura. Dhamana ya kulinda maisha yako ipo juu yako, watachagua wao yupi anaenda Mortuary na yupi ataondoka hai.

Tumia simu yako ya mkononi vizuri, Ikiwa una simu ya mkononi, tumia kupiga simu kwa mtu wa karibu. Unaweza pia kutuma ujumbe wa maandishi kwa rafiki au mwanafamilia ili kuwafahamisha hali yako. Mbali na hivyo unaweza kurekodi sauti zao wakiongea hii inaweza kusaidia kwenye kuwatambu vyema.
Usiwe na wasiwasi kuuliza maswali, Ikiwa watu hawa wanakuuliza maswali, usiwe na wasiwasi kuuliza maswali mwenyewe. Unaweza kuwauliza majina yao, namba zao za kitambulisho, na sababu ya wao kuja kwako. Unaweza pia kuwauliza kama wana hati ya kukukamata.

Ikiwa una shaka yoyote kuhusu watu hawa, ni bora kuwa makini na kuchukua hatua za kujikinga. Kumbuka, usalama wako ndio jambo la muhimu zaidi. Tumia muda wako kujifunza self defence, endapo mtu akijaribu kutumia nguvu kupitiliza basi uwe na uwezo wa kujilinda, endapo mtu atakulazimisha kwenda kwa kukukaba basi ukimbariki na ngumi ya koo nadhani itakuwa ni GG ya maana kabsa.
Kuna nyufa nyingi kwenye utendaji kazi wa mamlaka za usalama ambazo ni katika nyufa hizi ndipo wahuni wanapitia humo humo. Kikundi cha wahuni kinamshika mtu na kumhifadhi kituo cha polisi? Na polisi wanadai kuwa mtekwaji hawajui alipo? Serious!?!

Dawa ya hawa wahuni
 
Kilichowatokea Maafisa TRA ndo kilichobaki kwa watanzania kufanya pekee 😔 ubaya ubwela
 
Back
Top Bottom