Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Si vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
Mask hazizuii virusi mzee baba..zinazuia maji maji, mate n.k kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima asiyekuwa na maambukiziishu ni kuvaa mask muda wote,fikiria nyomi ya kimara Posta ya mwendo kasi, Vurumai za msongamano kariakooo na kwenye pantoni... na mask tu ndo zinaweza saidia
Virusi vya corona haviwezi kupenya kwenye mask kwa mujibu wa wataalamuMask hazizuii virusi mzee baba..zinazuia maji maji, mate n.k kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima asiyekuwa na maambukizi
Mtaalamu yupi?Virusi vya corona haviwezi kupenya kwenye mask kwa mujibu wa wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Virusi vya corona haviwezi kupenya kwenye mask kwa mujibu wa wataalamu
Sent using Jamii Forums mobile app
ishu ni kuvaa mask muda wote,fikiria nyomi ya kimara Posta ya mwendo kasi, Vurumai za msongamano kariakooo na kwenye pantoni... na mask tu ndo zinaweza saidia
Nakupinga, sio mask pekee kumbuka hata majasho yanaweza kubeba wadudu wa corona, na kwenye mwendokasi watu wanagusanisha nyama kwa nyama wakati wakigombania kuingia garini.
Kwani mask zinaziba uso au pua na mdomoMask ni muhimu sana, kwanini?
1 achilia mbali ya kuwa hujui nani ana virus kwenye msongamano mtu akikohoa bila ya kufunga mdomo au akipiga chafya germs zinaweza kukufikia usoni hiyo ni risk kubwa sana.
2 ata kama zikiangukia sehemu zingine unaweza zishika bahati mbaya na wataalamu wanadai binadamu tunatabia ya kujishika usoni on average 15 to 20 in an hour. Wakati mwingine tunafanya ivyo bila ya sisi kujifahamu.
Kama virus umezishika mkononi ukifanya ivyo kwa kuchokonoa pua, kushika lips au kufikicha macho ndio njia ya kupata maambukizi walau masks inasaidia unapojisahau ukijishika usoni mdomo na pua vinakuwa covered.
3 Muhimu zaidi ni kuosha mikono mara kwa mara na sabuni kila unapopata nafasi
Na mie sijasema mask zinaziba uso isipokuwa pua na mdomo 😷Kwani mask zinaziba uso au pua na mdomo