Jinsi ya kujilinda na Corona virus kwenye mwendokasi

Jinsi ya kujilinda na Corona virus kwenye mwendokasi

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Ni vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
 
Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Si vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
 
ishu ni kuvaa mask muda wote,fikiria nyomi ya kimara Posta ya mwendo kasi, Vurumai za msongamano kariakooo na kwenye pantoni... na mask tu ndo zinaweza saidia
 
ishu ni kuvaa mask muda wote,fikiria nyomi ya kimara Posta ya mwendo kasi, Vurumai za msongamano kariakooo na kwenye pantoni... na mask tu ndo zinaweza saidia
Mask hazizuii virusi mzee baba..zinazuia maji maji, mate n.k kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima asiyekuwa na maambukizi
 
ishu ni kuvaa mask muda wote,fikiria nyomi ya kimara Posta ya mwendo kasi, Vurumai za msongamano kariakooo na kwenye pantoni... na mask tu ndo zinaweza saidia

Nakupinga, sio mask pekee kumbuka hata majasho yanaweza kubeba wadudu wa corona, na kwenye mwendokasi watu wanagusanisha nyama kwa nyama wakati wakigombania kuingia garini.
 
Mask ni muhimu sana, kwanini?
1 achilia mbali ya kuwa hujui nani ana virus kwenye msongamano mtu akikohoa bila ya kufunga mdomo au akipiga chafya germs zinaweza kukufikia usoni hiyo ni risk kubwa sana.

2 ata kama zikiangukia sehemu zingine unaweza zishika bahati mbaya na wataalamu wanadai binadamu tunatabia ya kujishika usoni on average 15 to 20 in an hour. Wakati mwingine tunafanya ivyo bila ya sisi kujifahamu.

Kama virus umezishika mkononi ukifanya ivyo kwa kuchokonoa pua, kushika lips au kufikicha macho ndio njia ya kupata maambukizi walau masks inasaidia unapojisahau ukijishika usoni mdomo na pua vinakuwa covered.

3 Muhimu zaidi ni kuosha mikono mara kwa mara na sabuni kila unapopata nafasi
 
Kwani mask zinaziba uso au pua na mdomo
 
Kwani mask zinaziba uso au pua na mdomo
Na mie sijasema mask zinaziba uso isipokuwa pua na mdomo 😷

Kwanini mihumu kwa sababu kama virus unazomkononi aina maana tayari umepata maambukizi.

Utapata maambukizi iwapo utachokonoa pua bila ya kuosha mikono, ukiweka mkono mdomoni au kushika lips na ukifikicha macho hizo ndio njia tatu za corona kuingia mwilini (puani, mdomoni au machoni).

Sasa binadamu tunatabia ya kushika uso na feature zake mara 15-20 ndani ya saa including hizo sehemu nilizozitaja (pua, mdomo na macho) na ndivyo watu walivyopata Corona.

Kwa kuvaa 😷 ukijisahau ukashika uso automatic pua na mdomo vinakuwa protected.
 
Back
Top Bottom