maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Tatizo wabongo tunapenda hela za rahisirahisi....kwani mtoa mada kasema ni easy money?vizur but nimekula sana ela za adsense miaka km miwili iliyopita for now blogger sio ishu maybe youtube napo ni pagumu bila akili usione ni km easy ndugu yangu ila km una mda unaweza fanya na ukapiga mpunga