J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 29, 2021 #1 Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika Upvote 0
Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika