Jinsi ya kujitetea mbele ya mahakama ya RC

In case mkuu, huwezi jua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume wa Dar kama wanaogopa panya road....[emoji2] [emoji2] Sasa RC sindio watatoroka nchi yao kabisa....[emoji13] [emoji13]
Juzi tu, walijificha uvunguni baada ya kusemekana nyoka ameonekana mitaa ya sinza....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama tandu wanahamaki, sembuse nyoka haha. [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Utafiti unaonyesha baada ya miezi miwili jiji LA dsm litakua jiji LA kwanza dunian kua na wanaume wachache..inasadikiwa kua jiji hlo litabakiwa na wanaume wawili tu tena wote wakitokea kanda ya ziwa[emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Siku ya 3 leo hawajatoka shauri ya mvua, na mkuu wao wa mkoa kawapa likizo ya siku 2.
 
hahahahahahahahaha lol! Weye Ushimen Mungu anakuona ujue ila nimecheka sana Mkuu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…