Jinsi ya kujiunga bando kwenye pocket wifi ya Yas.....sijui ndio wanaita post paid, naomba menu yake

Jinsi ya kujiunga bando kwenye pocket wifi ya Yas.....sijui ndio wanaita post paid, naomba menu yake

naomba menu yake please

Kama una namba ya aliyekuunganisha na hiyo huduma mpigie akuambie je ni post paid au pre paid.

Maana post paid unalipa Hela.
Wakat prepaid unaweka vocha na kujiunga (kama unavyofanya ukijiunga na bundle kwa simu yako)

na kama ni Post paid alaf ww ukakosea na kuweka vocha ujue hulipii bill.

Kama huna namba ya aliyekuunganisha . Itoe Line, weka kwa simu, piga Customer care wakuambie.
Na watakupa maelekezo yote.
 
Una app ya mixx? Kama unayo Ingia kwenye app, chagua mobile shop then home internet, kama kilisajiliwa na line yako utakuta hapo, kama ni line ya MTU mwengine chagua buy for others kisha fuata maelekezo.
 
Back
Top Bottom