Jinsi ya kujiunga na diploma ya ualimu Kwa kutumia ufauru wa GRAD A

Jinsi ya kujiunga na diploma ya ualimu Kwa kutumia ufauru wa GRAD A

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Msada jamani kusomea diploma in primary na kupitia advance kipi bora?
 
Kweli elimu ya Tanzania imeporomoka, sidhani kama kuna haja ya kufanya utafiti inajionesha hata hapa Jamii forum. Mleta uzi ni mwalimu hembu tazama alichojikunja na kukiandika kisha piga picha wanafunzi wanaopitia mikononi mwake wakoje? Jibu utapata. Inauma na pia inachekesha.
 
Back
Top Bottom