Kweli elimu ya Tanzania imeporomoka, sidhani kama kuna haja ya kufanya utafiti inajionesha hata hapa Jamii forum. Mleta uzi ni mwalimu hembu tazama alichojikunja na kukiandika kisha piga picha wanafunzi wanaopitia mikononi mwake wakoje? Jibu utapata. Inauma na pia inachekesha.