Jinsi ya kujizuia kupata Stroke

Ok. hiyo ni kwa baadhi au wote?
Na je mbona wanapata mara mbili?
Ukishapata stroke mara ya kwanza na daktari chanzo cha stroke hiyo ni nini labda ni kisukari au high blood pressure, inabidi uishi kwa kuzingatia masharti, kucontroll. Pia ufanye chek up mara kwa mara.
 
Naomba kuuliza mama yangu nilikuta mdomo uko upande lakin huwa anakuwa na pressure je ni hiyo stroke?
 
 
Asante kwa mada nzuri.Stroke ni janga la kitaifa.Nauliza ni mazoezi gani ni mazuri?
Mimi nanyanyua mavyuma mara tatu kwa wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…