pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Pressure iko sawaPole. Pressure yako iko sawa mpaka leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pressure iko sawaPole. Pressure yako iko sawa mpaka leo?
Mara nyingi baada ya mtu kupata kiharusi blood pressure huwa ina resume to its normal readings,.Pole. Pressure yako iko sawa mpaka leo?
Mara nyingi baada ya mtu kupata kiharusi blood pressure huwa ina resume to its normal readings,.
Ikijirudia tambua hapati management nzuri, wewe unatumia Junior Asprin??Ok. hiyo ni kwa baadhi au wote?
Na je mbona wanapata mara mbili?
Ukishapata stroke mara ya kwanza na daktari chanzo cha stroke hiyo ni nini labda ni kisukari au high blood pressure, inabidi uishi kwa kuzingatia masharti, kucontroll. Pia ufanye chek up mara kwa mara.Ok. hiyo ni kwa baadhi au wote?
Na je mbona wanapata mara mbili?
Naomba kuuliza mama yangu nilikuta mdomo uko upande lakin huwa anakuwa na pressure je ni hiyo stroke?[/QUOTE
Kuna inayoitwa mini stroke, na mara nyingi hii inajisolve yenyewe lakini mgonjwa anatakiwa aachwe kwenye sehemu atakayopata oxygen ya kutosha. Kama pressure ilikua juu, ni kumwona daktari na kumsisitiza kutumia dawa.