Jinsi ya kujua kama mganga aliye hamia mtaani kwenu ni mganga kweli au magumashi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
1. Angalia kama mganga huyo ana miliki property yoyote which is capable of being stolen .. eg bodaboda, mifugo mikubwa etc.

Lazima watu wengine pia wawe Wana fahamu kuhusu Mali hiyo ya mganga. Kwamba bodaboda inayo endeshwa na Jamaa fulani ni Mali ya huyo Bwana Mganga.

2. Nenda kaibe.hiyo bodaboda eidha wewe mwenyewe au peleka majeshi waka iibe hiyo bodaboda..

Bodaboda ikisha ibiwa hakikisha habari ina enea mtaa mzima kwamba bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. SIKILIZIA.

KAMA NI MGANGA KWELI

1. ALITAKIWA AWE AMEIZINDIKA BODABODA YAKE ISI IBIWE.

okay tuseme basi alijisahau hakuizindika. Tunamsamehe Kwa kijisahau Kwa sababu na yeye NI binadamu Bana

2. ATAFANYA UGANGA WAKE BODABODA YAKE IRUDI HARAKA SANA.

Hapo Mambo matatu yote yamekamilika yani:

1. Yesu yupo.

2. Yohana Mbatizaji yupo.

3. Na maji ya Mto Yordani yapo

So nothing can prevent baptism from happening.

1. Mganga yupo.

2. Bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. Na mwizi aliye iba Bodaboda yupo.

So Hakuna cha kumzuia mganga kuroga mwizi arejeshe bodaboda yake.

SO WHAT WILL BE THE REACTION FROM MGANGA.

A. KAMA NI MGANGA KWELI BASI BODABODA YAKE UTAIRUDISHA MWENYEWE.

B. KAMA.NI MAGUMASHI: ATAHAMA MTAA HUO ALFAJIRI YA KESHO YAKE. KWANINI? KWA SABABU YA AIBU YA KUIBIWA NA KUSHINDWA KUREJESHA MALI YAKE.

ANGALIZO: DO IT AT UR OWN RISK CAUSE WAGANGA MAGUMASHI WANAKUWAGA NA CONNECTION ZA WACHAWI NA WAGANGA WA UKWELI SO ANAWEZA KWENDA KUKUROGA KWA WACHAWI/WAGANGA WA UKWELI

Haya sasa Twenzetu
 
Embu ngoja..
IMG_20200427_081522.jpg
Embu ngoja
 
Ndio manaake lazima atafute connection za walio mpa picha ya taaluma hio.pia kuiba pikipiki mbali sana huko pia nikujidhalilisha tu kula mkewe ama wanawe ikiwezekana kilasiku usiku hakikisha unatupa mawe juu ya paa nakuvunja vioo kwa manati utapata jibu tu .
 
Hakuna kitu kinaitwa mganga wa kweli wala mvanga asie wa kweli.

Uganga, uchawi na ulozi nk vitu vya kufikirika, havipo. Hakuna kitu kinaitwa uchawi.
 
mganga kaibiwa..anapiga uganga wake anajiona yeye mwenyewe ndo kajiibia..(anaamua tu kusema MKEKA UMECHANIKA)
 
1. Angalia kama mganga huyo ana miliki property yoyote which is capable of being stolen .. eg bodaboda, mifugo mikubwa etc.

Lazima watu wengine pia wawe Wana fahamu kuhusu Mali hiyo ya mganga. Kwamba bodaboda inayo endeshwa na Jamaa fulani ni Mali ya huyo Bwana Mganga.

2. Nenda kaibe.hiyo bodaboda eidha wewe mwenyewe au peleka majeshi waka iibe hiyo bodaboda..

Bodaboda ikisha ibiwa hakikisha habari ina enea mtaa mzima kwamba bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. SIKILIZIA.

KAMA NI MGANGA KWELI

1. ALITAKIWA AWE AMEIZINDIKA BODABODA YAKE ISI IBIWE.

okay tuseme basi alijisahau hakuizindika. Tunamsamehe Kwa kijisahau Kwa sababu na yeye NI binadamu Bana

2. ATAFANYA UGANGA WAKE BODABODA YAKE IRUDI HARAKA SANA.

Hapo Mambo matatu yote yamekamilika yani:

1. Yesu yupo.

2. Yohana Mbatizaji yupo.

3. Na maji ya Mto Yordani yapo

So nothing can prevent baptism from happening.

1. Mganga yupo.

2. Bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. Na mwizi aliye iba Bodaboda yupo.

So Hakuna cha kumzuia mganga kuroga mwizi arejeshe bodaboda yake.

SO WHAT WILL BE THE REACTION FROM MGANGA.

A. KAMA NI MGANGA KWELI BASI BODABODA YAKE UTAIRUDISHA MWENYEWE.

B. KAMA.NI MAGUMASHI: ATAHAMA MTAA HUO ALFAJIRI YA KESHO YAKE. KWANINI? KWA SABABU YA AIBU YA KUIBIWA NA KUSHINDWA KUREJESHA MALI YAKE.

ANGALIZO: DO IT AT UR OWN RISK CAUSE WAGANGA MAGUMASHI WANAKUWAGA NA CONNECTION ZA WACHAWI NA WAGANGA WA UKWELI SO ANAWEZA KWENDA KUKUROGA KWA WACHAWI/WAGANGA WA UKWELI

Haya sasa Twenzetu

Kuna kipindi chuo kuna mdada alikua ana mashetani anajifanya kama anaagua sijji kututisha tu wenzake domitory.; nakumbuka nilikua mtata fulan mtukutu sana..nikamwambia chizi mwenzangu oya tumuibie hiyu cheni yake ya gold ila tutairudisha🤣! Tukaiba..uwii🤣 aliamsha hayo majini ..kifupi akaenda kuleta sheikh sijui kusoma albadir..hofu yangu ikawa kwa shoga kama hatachomoa betri..hahaa sheikha kasoma kisomo weeee..tuko wote room...!akasema huyo aloiba sijui yatampata mambo gan..hahaa...hakuna kitu...shenz kbs! Tukairudisha baada ya mwezi!.imani haba tu!alikua anaboa..kila sk anapandisha mashetan..nilikua nakereka sana!
 
1. Angalia kama mganga huyo ana miliki property yoyote which is capable of being stolen .. eg bodaboda, mifugo mikubwa etc.

Lazima watu wengine pia wawe Wana fahamu kuhusu Mali hiyo ya mganga. Kwamba bodaboda inayo endeshwa na Jamaa fulani ni Mali ya huyo Bwana Mganga.

2. Nenda kaibe.hiyo bodaboda eidha wewe mwenyewe au peleka majeshi waka iibe hiyo bodaboda..

Bodaboda ikisha ibiwa hakikisha habari ina enea mtaa mzima kwamba bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. SIKILIZIA.

KAMA NI MGANGA KWELI

1. ALITAKIWA AWE AMEIZINDIKA BODABODA YAKE ISI IBIWE.

okay tuseme basi alijisahau hakuizindika. Tunamsamehe Kwa kijisahau Kwa sababu na yeye NI binadamu Bana

2. ATAFANYA UGANGA WAKE BODABODA YAKE IRUDI HARAKA SANA.

Hapo Mambo matatu yote yamekamilika yani:

1. Yesu yupo.

2. Yohana Mbatizaji yupo.

3. Na maji ya Mto Yordani yapo

So nothing can prevent baptism from happening.

1. Mganga yupo.

2. Bodaboda ya mganga imeibiwa.

3. Na mwizi aliye iba Bodaboda yupo.

So Hakuna cha kumzuia mganga kuroga mwizi arejeshe bodaboda yake.

SO WHAT WILL BE THE REACTION FROM MGANGA.

A. KAMA NI MGANGA KWELI BASI BODABODA YAKE UTAIRUDISHA MWENYEWE.

B. KAMA.NI MAGUMASHI: ATAHAMA MTAA HUO ALFAJIRI YA KESHO YAKE. KWANINI? KWA SABABU YA AIBU YA KUIBIWA NA KUSHINDWA KUREJESHA MALI YAKE.

ANGALIZO: DO IT AT UR OWN RISK CAUSE WAGANGA MAGUMASHI WANAKUWAGA NA CONNECTION ZA WACHAWI NA WAGANGA WA UKWELI SO ANAWEZA KWENDA KUKUROGA KWA WACHAWI/WAGANGA WA UKWELI

Haya sasa Twenzetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LIKUD mganga hajigangi ujue last week kanifuata mmoja analia eti nimfanyie namna kaachwa na demu wake.. Nikacheka sana nikamwambia.. HATA WEWE UNAACHWA? Akasema kwa huzuni sana... Acha tu ndugu yangu limbwata halitibiwi kwa tunguli.. Nikamwambia akatumie ile tiba mbadala ya chumvi [emoji144][emoji144][emoji144][emoji30]

Jr[emoji769]
 
Hahahahaha . Mganga anasema anarudisha MKE aliye kimbia ndani ya Masaa matatu wakati yeye mwenyewe marital status divorced
 
Back
Top Bottom