LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #21
Kuna kipindi chuo kuna mdada alikua ana mashetani anajifanya kama anaagua sijji kututisha tu wenzake domitory.; nakumbuka nilikua mtata fulan mtukutu sana..nikamwambia chizi mwenzangu oya tumuibie hiyu cheni yake ya gold ila tutairudisha🤣! Tukaiba..uwii🤣 aliamsha hayo majini ..kifupi akaenda kuleta sheikh sijui kusoma albadir..hofu yangu ikawa kwa shoga kama hatachomoa betri..hahaa sheikha kasoma kisomo weeee..tuko wote room...!akasema huyo aloiba sijui yatampata mambo gan..hahaa...hakuna kitu...shenz kbs! Tukairudisha baada ya mwezi!.imani haba tu!alikua anaboa..kila sk anapandisha mashetan..nilikua nakereka sana!
Chuo gani? Ingekuwa Udsm wangemtimua room angeenda kukaa mtaani