Jinsi ya kujua kama mganga aliye hamia mtaani kwenu ni mganga kweli au magumashi


Chuo gani? Ingekuwa Udsm wangemtimua room angeenda kukaa mtaani
 
Mad max. Usiku wote huu na hichi kibaridi uko macho? Umeshamaliza kula chakula cha usiku? Au wewe ni mlinzi kama mimi?
Mkuu acha tu. Jana ile mvua pale nilikua Bar. Home godoro lililowana maana niliondoka na key za ghetto majirani hawakunisaidia. Hapa sahivi ndio nimelala kwa mshkaji Kimara yy kaenda Job. Mkuu haya maisha we yasikie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…