jinsi ya kujua kama una vvu bila kupima

Umevurugwa weunazani kila mtu wakumuongopea kwasababu eti njianyepesi yakujua dalil za vvu acha kukurubuka bro humu ndani tunataka mtu huandike ktuambacho unauakikanacho sio unalopoka jipange we njuka nini?

hiii ni zaidi ya uhakiaka kwani nishafanya utafiti
 
mkuu acha kupotosha jamii wewe unafikiri kinachopunguza kinga ni vvu pekee yake kuna magonjwa kama saratani kisukari matumizi mabaya ya dawa kama steroid

kinga ikiwa chini ndio magonjwa hayo yana aanza kujitokeza
 
We hii research umefanyia wapi?

Hata mikwaruzo haiponi kwa siku tatu,

Kama vidonda vikubwa vingepona kwa siku 7

Hata kusingekuwa na uhitaji wa madawa ya vidonda!!

nimeifanyia muhimbili
inapona kwa siku moja kama ni mkwaruzo na vidonda vikubwa vinapona kwa siku 5 mpaka saba inategemea na kinga ya mtu ndio maaana mtu mwingine mafua tu yanamfanaya alae wodini wakati mwingine anadunda mtaani
 
nimeifanyia muhimbili
inapona kwa siku moja kama ni mkwaruzo na vidonda vikubwa vinapona kwa siku 5 mpaka saba inategemea na kinga ya mtu ndio maaana mtu mwingine mafua tu yanamfanaya alae wodini wakati mwingine anadunda mtaani

Kwa hiyo wazungu wana VVU? Umechemka vibaya wangu.
Hiyo research ya Muhimbili mmmhh. Majanga
 
bila shaka mleta mada..atakuwa amejikwaa sehemu..sasa yupo kwenye harakati za kujifariji..
 
mijitu ya jamiii forum mibishi hata haielewi sijui mpaka upasue mibichwa yaoo mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Will i.a.m wa bongo ... naïve/null hypotheses
 
ndugai baba yako nini?
Mna akili sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…