NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Kwa anayejua hili atusaidie.Maana unaweza uliagiza gari Japan mwaka jana.Kumbe matairi yake kule yakawa yalikaa miaka mitano ndio ukapata wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna namba utaziona hapo mfano
4915
Mwaka 2015 wiki ya 47 ndo taili lilitengenezwa kumbukua lilktengenezwa sio kuanzaa kutumika
Wanasema miaka yake haizidi mitatu au zaidi sina hakika
ila hata kama halijatumika libaadilishwe ikifika siku yake ya mwisho wa matumizi hvyo hivyo sio mpk liwe kipara
angalia gali yako taili yako imetengenezwa mwaka gani
View attachment 1224138
Miaka mitano tangu tarehe ya kutengenezwa.Kuna namba utaziona hapo mfano
4915
Mwaka 2015 wiki ya 47 ndo taili lilitengenezwa kumbukua lilktengenezwa sio kuanzaa kutumika....
kabla hujanunua hilo taili ipige picha zile namba km sitakuwepo online JF nicheck whatsaapbamba hoi 0629552992 picha namba hii nitakusaidia kujua.Sijaelewa. Ngoja nikanunue hivohivo