Jinsi ya kujua uwezo wa misuli yako ya uume.

Jinsi ya kujua uwezo wa misuli yako ya uume.

Mm nakuunga mkono 100%.
Nishafanya jaribio mara nyingi.Ila mm nimepima kwa hatua zangu za miguu nane kama unapima goli la mpira uwanjanai .Dole gumba kwa kisigino.Pia kwa utotoni nakumbuka unaweza kojoa na mkojo ukawa kama kimo na umbali zaidi ya huo.
Na ili uwe na nguvu zilizo sawa
Fanya mazoezi.punguza au acha kula vyakula vya mafuta .Achana na soda kunywa juice halisi za matunda au matunda kabisa.Acha punyeto.Hakikisha tumbo lako sio kitambi kwan kitambi huhifadhi mafuta jitahidi kukipunguza.Mara kwa mara kunywa dawa au vyakula vya kuflash tumbo kama mtindi ,papai au za kuharisha husaidia kuondoa mafuta na gesi tumboni.Tumbo ndio mama wa maradhi.
We mkali, hatua nane za kubananisha miguu ni sawasawa na hatua nne kasoro kidogo za kutembea, kiwango cha juu kabisa cha hatua za kawaida mwisho ni hatua tatu, kila hatua ina asilimia 33.3%.
Utotoni watu wanafikisha hatua za kutembea mpaka saba nane.
 
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)

MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
huna akili unahamasisha watu wachafue mazingira kwa mikojo, kama huna nguvu acha kwani lazima?
 
Naona mkuu umeamua kufundsha watu wazima namna ya kuji** a
Namna ya kujitibia.
Halafu sijaja kufundisha, nimekuja kuuliza kama kuna njia nyingine zaidi za mkojo kufika mbali.
 
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)
umesahau kuwaambia zoezi hili walifanye vichakani
 
Kila mtu na upimaji wake ww umepima hatua za kutembea mm hatua za kubana miguu unyayo kwa unyayo dole gumba kwa kisigino yaan kiganja cha mguu mara nane ambazo ni sawa na futi saba na ushee.mshindo hugusa kule
 
Kichaa utaonekana wewe bila kutoa facts. Toa sababu ndiyo ubeze.
Sababu zinazo sababisha nguvu kupungua siyo misuli tu ni mambo mengi na umbali wa mkojo akuna ukweli wowote huo niupotoshaji
 
Kwani magofu hakuna?, vichaka hakuna?, huwezi kutoka nje ya mji kidogo?
Kama una nia ya kufanya hili jaribio, huwezi sita kulifanya kisa utakamatwa.
mkuu kwani siku hizi unaona story za mabasi kusimama
maporini ili kuchimba dawa? na kwani kwenye magofu hapatoi harufu?
 
Nawaza tu; Upo kwenye jumba bovu au kichaka Umetoa Dudu Lako kwa ajili ya majaribio ghafla unastukia jiwe LA kichwa sasa sijui Utashika Wapi!!?

Daaaah hii mitihani mingine mtuelekeze na madarasa ya kufanyia
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
- Kegel naifananisha na uinuaji wa vyuma vizito, misuli inakuwa iko strong ukiwa umeshamiri kufanya mazoezi, ukiacha misuli inanywea, ina apply hivyo hivyo kwenye kegel. Unaichukuliaje hii?
- Kegel bila chakula chenyewe chenyewe cha kuimarisha misuli siyo sawasawa na kazi bure?
Jaman mm sijui kufanya kagel
 
Kila mtu na upimaji wake ww umepima hatua za kutembea mm hatua za kubana miguu unyayo kwa unyayo dole gumba kwa kisigino yaan kiganja cha mguu mara nane ambazo ni sawa na futi saba na ushee.mshindo hugusa kule
Nilishakusoma mkuu, hatua nane za kubana miguu unafunga kazi kabisa, kama ni mtihani umepata 105%, hatua nane za kubana miguu ni sawa na hatua nne za kawaida ninazosema mimi. Hili zoezi mwisho ni hatua tatu, kila hatua ina asilimia 33.3, kujua kiwango chako unachukua umbali wa mkojo unazidisha na 33.3%
 
Kuna maji ya mvua na ya mto. Mikojo yake inatofautiana urefu. Tafiti zako zilijikita kwenye maji yapi.
 
Sababu zinazo sababisha nguvu kupungua siyo misuli tu ni mambo mengi na umbali wa mkojo akuna ukweli wowote huo niupotoshaji
Mimi naamini katika hilo, kama wewe unaona ni upotoshaji shauri yako. Nimeuliza kuna njia nyingine ya kuongeza umbali wa kutua mkojo achilia mbali kegel na firm erection by thoughts?
 
mkuu kwani siku hizi unaona story za mabasi kusimama
maporini ili kuchimba dawa? na kwani kwenye magofu hapatoi harufu?
Usiku je?
Mlio miijni mnaogopa kufanya hili jaribio eti mazingira, mazingira yanawatala. Tulio vijijini tunawashangaa.
 
Back
Top Bottom