figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Invisible nakuomba kwa heshima yako anza na huyu hapa kama kweli ni mods fake Marry Hunbig
Nilisha fanya zoezi toka usiku kaka yani sijalala kabisa wewe umefanya? ?
Huo u-MOD Fake niliufanya wapi na kwa nani ewe nivea?
Hahahahaha, that kid! πound:πound:πound:
unasikia binti? ukisikia fake moderator ujue ni mimi. juzi nmempiga ban Paw. tuma vocha kabla sijakushughulikia na wewe. mia