Jinsi ya kukata mgomba usichipue tena

Jinsi ya kukata mgomba usichipue tena

Kelela

Senior Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
191
Reaction score
308
Habari zenu, nina shida, kuna migomba kila nikikata inachipua.

Nifanyeje ili isichipue tena?
 
Ni Aina gani na mgomba ? Ila kweli hutaki hiyo fursa badala uoteshe mingi we unateketeza
 
Mgomba!!? Kiwembe tu kinamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom