Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
Mimi nimelamba 4.5025Mil
ada 1.5Mil
Meals & Accommodation 2Mil
jumla 3.5 mil
inabaki 1.0025Mil sasa hii ndo ya field mbona nyingi sana??
mimi mbona sielewi,,nimepewa 3.3 milioni afu ada ni 1.3 milion,,accomodation 2milion field haipo??????so nina 100%????????
ze dudu nipe dodoso
Mbona sielewi.!
Mi nipo duce wamenipa 3,584,500/= Tsh.!
Ada milioni 1.! Kwa hiyo nina % ngapi.?
sasa unadhani mazingira na maisha ya mgodini ni rahisi kiasi hcho dats why una hicho kiasi kwa mwaka
Nisaidieni na mimi kidogo nimepewa 3,882,800 na ada ni 1,263,000
hiyo hela itanikomaje?? we acha tu
nisaidieni na mimi nimepata 2,672000 na ada ni 1300000 sasa hapo ni asilimia ngapi
na me pia nisaidien plz nina 3117500 then ada ni 1300000 >law
100% kaka' tutakutana wote pale sua
Oya kuna rijamaa lina mil.2.45 ada ni sh.mil1.5.,nae huyo anangapi..?