Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

Nafikiri Meal and accomodation ni 2,380,000....hii inatokana na kuwa vyuo vingi km siyo vyote vinatumia mtindo wa semester...semester 1 ni week 15,sawa na siku 115.ukiongeza wiki 2 za mtihani ni siku 119 .Hivyo kwa mwaka ni siku 238. 238x10,000= 2,380.000.

Baada ya kutoa hiyo iliyobaki igawanywe kwenye karo,field allowance,BOOK AND STATIONARY,NA SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS.

mkuu kwenye iyo 10000 kwa siku ni Uongo..ninavyojua ni sh.7500/= per day
 
n me nko udom ada laki nane;;;;wamenipa milion mbili laki mbili na elfu tisini na saba na mia tano;;;help me'''
 
Nisieni kujua % zangu loan ni 3343000= na tuit fees ni 1263000/= hizo ndo ngap %
 
Ze duduz nixaidie hv hyo accomodation ndo ile ya 7,500 per day au! alafu nisadie tena.
Nmepata 3,635,000
ada ni 1,263,000 hii ni % ngapi?
 
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%

mkuu mimi kuna mtu amenielewesha iv,
library 200000
chakula 1832000 kwa siku 245 katika mwaka
hostel huwa inalipiwa 500 kwa usiku mmoja which is 122500 kwa mwaka
field 600000 sasa jumlisha izo alafu utoe kwenye loan uone unabakiwa na sh ngap
 
mim nimepata 3547500,ada 1.2m..na acomodation ni 1837500(7500per day..for 245 days).nna asilmia ngapi?
 
Back
Top Bottom