Edsonson Jr
Member
- Sep 10, 2012
- 6
- 0
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
xory bra! Mi nmepata 3447000 n tuition fee ni 1263000, hvyo nahtaji msaada wako nweze jua nmeramba% ngapi
Hivi hata mwaka wa kwanza wanafanya field?
hiyo hela itanikomaje?? we acha tu
hiyo hela ya hostel mbona haipo kwenye barua zao?maana direct cost wameandika 182500.je hiyo ela ya hostel inatoka bodi as accomodation au unajilipia?kwenye hiyo mil 2 na elfu 60 iyo elfu 60 niya nini?coz chakula na library ni 1837500 kwa siku 245,
ok mi nina 3777500 na coz yangu ni 1.2 mil
inamaana kila mwaka siku hizi kuna field? Na katika magaio ya hizo pesa za mkopo imo ndani yake?ndo ivyo kaka..yaani kila baada ya semester 2 field inatuhusu
Ela ya hostel iko included kwenye direct costs ambayo wamejumuisha ikaja 280000 if not mistaken. Hiyo ela ya hostel inakuwa included katika hiyo 7500 ndo maana inaitwa ela ya meals and accomodation.
Lakini kwakuwa ela uwa inachelewa kuja na huwezi sajiliwa bila kulipia hostel ndiyo maana watu uwa wanalipia hostel hata kabla ya boom coz haizi elfu 65 kwa semister au 130000 kwa mwaka so ukija pokea booom unaitumia yote maana hostel ushalipia
Niaje (kaka)Ze dudu, Naomba nisaidie hapa mimi nimepata 3299500 na ada ni 700000 then nina field.. Je nina% kama ngapi hapo? Plz msaadaMfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
umexomeka xana 2 mkuu..Hivi tuseme wote mnao omba kukokotolewa % zenu hamuwezi fanya hesabu ndogo kama hiyo???
inasikitisha sana jamani hesabu za kutoa kuzidisha na kugawanya mpaka tusaidiwe?? Acheni kujidharirisha ndugu zanguni fuateni mfano huo,
kwanza naomba kuwaeleza kua pesa ya Meals & Accommodation hailingani kutokana na idadi ya siku utakazo kaa chuoni, mfano mimi chuo nitakaa siku 245 ambapo nitapata Tsh.1,837,500/= siwezi lingana na yule ataekaa chuo siku 287. so ilikujua % yako jipigie kutokana na taarifa zako binafsi, sio kuangalia jinsi mtu alivyo Jipigia.
ze duduz tafadhari rekebisha maelezo yako hapo juu maana kila mtu humu anakokotoa kutokana na taarifa uliyo toa.
ze duduz mie FIELD sifanyiso kaka una 60-70% inakuhusu
Mfano Mimi Nimepata Loan Ya Tsh.3867000/= Hii Pesa InaGAwanywa Hivi....
¤Accomodation,Meal and Stationary kwa Vyuo Vyote wanatoa= Tsh.2000000/=
¤School fees ni = Tsh.1263000/=
Total Summation inakuwa ni Tsh.3263000/=
¤Pesa Ya field inategemea na Loan Uliyopewa ambayo ni tofouti ya Tsh.386700-Tsh.3263000= Tsh.604000
NB: kwa kuangalia Hapo the money ni 10 0%
msaada wakuu,kuna m2 kapata 300 000. open university. sasa hapo inagawanywa vipi?
hiyo ni 40% hadi 50% maana OPEN UNIVERSITY hakuna field, meals & accommodation, stationaries wala faculty requirements kwa sababu wanao soma open university wanakaa home wanatumiwa material kwa posta.