Wnajamvini kwa taarifa nilizipata mimi ni kwamba:
MEALS AND ACCOMODATION ni tshs 1,852,500
Books and Stationery 200,000
Field 620,000*
Kwamba kila mwanafunzi anapewa sawa pesa ya meals and accomodation na pia Books and Stationery total ni Tshs 2,052,500,lakini field inategemea km ni requirement ya degree programm husika,kwa mfano wanafunzi wa ualimu wana Teaching practice hivyo wote wanapewa flat rate ya 620,000 lakini kuna wanafunzi wa degree nyingine wana faculty requirement ampayo kiasi kinatofautina baina ya degree moja na nyingine kulingana na mahitaji!
Kwa mfano, mwanafunzi wa degree yoyote ya Ualimu pale UDSM amepewa na bodi Tshs 3,496,500 anatakiwa kujumulisha meals and accomodation, books and stationery (2,052,500) pamoja na Teaching Practice(6,200,000​​😉 jumla inakuwa Tshs 2,672,500 ambayo atapatiwa kwa kwa awamu mbalimbali kwa mwaka mzima kisha anachukua jumla ya mkopo wote Tshs 3,496,500 anatoa hiyo Tshs 2,672,500 anapata Tshs 824,000 ambayo ndicho kiwango cha ada ambacho Bodi itamlipia chuoni.
Kupata kiwango cha yeye kulipa ada chuoni anatakiwa kuchukua ada degree ya UALIMU pale UDSM ambayo ni Tshs 1,000,000 anatoa kiwango cha bodi ambacho ni Tshs 824,000 anapata kiwango ambacho atatakiwa alipe ada moja kwa moja chuo tshs 2496,500!
Yangu ni hayo tu sina la ziada nawasilisha