Jinsi ya kukokotoa PAYE, Taxable Pay na Net Pay kwa urahisi sana.

Jinsi ya kukokotoa PAYE, Taxable Pay na Net Pay kwa urahisi sana.

Ile ya TRA mbona kama ni nyepesi pia! Jua Gross yako, toa 10% ya mifuko ya kijamii, inayobaki tumbukiza mule, kama ni wa huku, unaweka kwenye mainland, kama ni mkaazi, unaweka huko, ukibonyeza calculate tu, baaaam, paye yako hadharani, mimi yangu ni sawa kabisa na ya Chief.
 
Back
Top Bottom