Jinsi ya kukopa hela

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Nenda kwa mshikaji wako wa kishua umkope sh' 50,000 Kisha muahidi utamrejeshea kesho jioni.
Akishakukopesha hiyo pesa Wala usiende kuitumia.Itunze vizuri afu mrudishie hyo hyo pesa kabla ya jioni yenyewe kufika.

Kaa siku tatu Kisha Rudi tena kwake ukamkope sh' 200,000 na umuahidi utamrudishia baada ya siku mbili.Akishakukopesha fanya Kama ulivyofanya round ya Kwanza,itunze Kisha mrudishie hyo hyo pesa kwa muda mlioahidiana( Hapa utakuwa umejenga uaminifu Kati yenu)

Round ya tatu Sasa ingia mazima, nenda kwake ukamkope 600,000 Kisha umuombe akupe wiki Moja, Mwana akijichanganya tu akakupa hyo hela Basi sepa mazima Tena kwa speed ya 5G.Block namba yake na ikibidi Hama kitaa nenda kaishi sehemu nyingine [emoji23].Hapa URAFIKI wenu utakuwa umeisha kihivyo.
 
Labda Kama mafundi wa kuroga wameisha!
 
Hehehe[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapo ukishasepa mazima usiache kutembea na kopo la Vaseline kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…