Jinsi ya kukumbuka eneo uliloegesha gari lako kwa kutumia simu yako

Kama una smart4n na huwezi tumia google map, it means your phone is smarter than you.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Huwezi kujua kila kitu kweny cmu... Utamjua tu vile unavyotumia Mara kwa Mara. Simu ni computer.... Huwez juakilakitu kweny computer.
 
Kuna dada alipark gari yake mtaa wa livingstone kkoo ila alitembea hadi mnazi mmoja akilitafuta hadi akahisi ameibiwa.
 
Beba halafu upigwe pasi wang'oe bampa ndio utaeleza nani alikufundisha kiherehere!
 
Beba halafu upigwe pasi wang'oe bampa ndio utaeleza nani alikufundisha kiherehere!

Raha ya kuwa mwanamke, unajidekeza tuu na sauti unabadili kuwa ya mbingu ya 7
Jamaa analainikaa na utasikia tuu poleee babes, hujaumia...!! Don’t worry I’ll fix everything 😊😊😊 unampa busu neneee halafu unamnong’oneza sikioni.... I want to marinate you later, please be at the playground on time at 2215 hours.

Aahahahahaha, unaona tabasamu kama la Obama limefunika taswira nzima ya mjamaa 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️.

NB: Tafadhali iga pale panapofaa.
 
Unatafuta ligi boss.
Computer ina sifa nne;
1. Accept input
2. Produce output
3. Store data
4. Process data

Ukiangalia hivyo vyote simu inavifanya.
Leta tafsiri yako sasa
Kwa tafsiri yako naweza sema, simu inasifa kama za computer. Lakini haimaanishi simu ni computer.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ili iwe computer inatakiwa kuwaje? Usizunguke sana weka elimu yako hapa
Mkuu, mchina na mwafrika wote ni binadam na wanasifa zinazoendana. Ila ukisema mchina ni mwafrika hautakuwa sahihi.

Simu sio computer na computer sio simu. Period.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, mchina na mwafrika wote ni binadam na wanasifa zinazoendana. Ila ukisema mchina ni mwafrika hautakuwa sahihi.

Simu sio computer na computer sio simu. Period.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Unaleta majibu ya kiswahili tu.
Ongea kitaalam kwanini simu sio computer?
Unapiga blah blah achana nazo weka hoja kwanini simu sio computer?
 
Unaleta majibu ya kiswahili tu.
Ongea kitaalam kwanini simu sio computer?
Unapiga blah blah achana nazo weka hoja kwanini simu sio computer?
Kwasababu simu zote haziwezi fanya vitu vyote vinavyofanywa na computer. Najua unapoongelea simu, kichwani kwako unafikiria smart phones, ila kuna wide range ya hizo simu, kuanzia za button hadi landlines zote inabidi zijumuishwe.

Simu sio computer mkuu, nakupa majibu simple kwasababu hakuna reason ya kucomplicate hii issue wakati ipo clear tu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Daah, mama weee! Na hapa ushanilainisha njoo uchukue funguo![emoji23][emoji23][emoji1]
 
Daah, mama weee! Na hapa ushanilainisha njoo uchukue funguo![emoji23][emoji23][emoji1]

Am coming Frey, nnvopenda magari mie looh 😜😜

Yaani utamu wa kupewa funguo za gari na mwanaume uondoke na gari lake... haupimiki aiseeh...

Viva men who offer their cars to us (women).
 
Am coming Frey, nnvopenda magari mie looh [emoji12][emoji12]

Yaani utamu wa kupewa funguo za gari na mwanaume uondoke na gari lake... haupimiki aiseeh...

Viva men who offer their cars to us (women).

Siyo kuchukua tu funguo, na papa utoe[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…