Very useful
Mnaoshangaa kua unawezaje kusahau ulipopaki it happens sometimes....kwa sie wenye vichwa vizito.
Nilishawahi peleka mtu airport wakati narudi nikawa nimejichanganya sijui gari nimeacha kwenye lane ipi aisee nikaenda kufata gari identical na yangu....aibuuu af mtu anaweza hisi kibaka [emoji23][emoji23]
Again kwa sehemu kama kariakoo naweza kupaki nikaweka alama zangu kabisaaaaa kua nimepaki karibu na landmark flani ila nikazunguka weeeeeeeee hadi location nasahau (it seriously happens au mi mzito sana?Sijui).....japo siku hizi nimepata mbinu ya kupaki Anatoglo kule [emoji1]
Asante lakini wacha tuongeze matumizi ya simu tutoe ushamba....