Jinsi ya kukumbuka eneo uliloegesha gari lako kwa kutumia simu yako

Hivi hapa mnazungumzia mtu kusahau alipopaki GARI au mtu kusahau nyumbani na kujikuta yuko gesti
Tunazungumzia mwanaume aliesahau kama ameowa akaenda kuowa mke WA pili hukoooo huku akiwa amesahau kama ana mke mwingine
 
Siyo kuchukua tu funguo, na papa utoe[emoji23][emoji23]

Loooh, ukitaka papa nakupigia pasi Giggy Money ufanye yako wakati mie najivinjari mitaa ya mkoani Daslamu..πŸ€ͺπŸ€ͺ.

Waiting for the keys ...! And the weekend is on.
 
Dah!

Huwa sizipendi kabisa parking decks.

Mara nyingi huwa nasahau nilipopaki.

Thank goodness to the panic button.
 
Hahaha watu hawajui tu ukiwa unamiliki sare ya taifa IST halafu upaki sehemu kama kariakoo au parking ambayo ina magari mengi unaweza kujikuta unataka kuondoka na gari la mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanini usisome Number Plate? Uzembe huo
 
Si unasoma Number Plate tu? Mtu akiniambia alitaka kuondoka na gari ya mtu namuona mwizi tu.
 
Kwanini usisome Number Plate? Uzembe huo

Mkuu me nashangaa mnaosema kwanini usisome namba, mara umesahauje ulipoaki gari na blabla kama hizo, mkuu kuna parking lots zingine ni kubwa unaenda kupaki gari unakuta gari tatu zipo by the time unarud unakuta kuna magari themanini na labda yale magari jiran yako yalisepa yapo mengine lazima uvurugwe na kama ist zinafanana...Kuhusu hili la namba lakwako hili yan utaanza kusoma namba ya gari moja moja ? kuna walinzi mkuu wasije wakakuletea balaa. Ukipaki gari geita huko utasahauje ? ila ukipaki gari daslama unaweza sahau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…