Jinsi ya kukumbuka ku file Taxes zako kila mwezi

Jinsi ya kukumbuka ku file Taxes zako kila mwezi

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
For the past 5 days nimekua nikifanya conversation na Wafanyabiashara wengi as a result ya Ile thread ya Fines za taxes.

Kuna kitu kimoja ambacho nimegundua wafanya biashara wote wanacho.

WANASAHAU KU FILE TAXES KWA WAKATI.

Pengine ni kutokana na stress za biashara au kujisahau tuu kama binadamu.

Sasa Leo ninakupa njia mbili ambazo unaweza kuzitumia zikakusaidia ku file taxes zako kwa Wakati bila kusahau.

Chukua popcorn 🍿

1. Tafuta mtu wa kukukumbusha ku file taxes zako or rather mtu wa ku file taxes zako on your behalf.

Tafuta mtu yoyote, be it your virtual assistant, secretary wako, mtu wa accounting au Mimi 😂

Offcourse naweza kukukumbusha kila mwezi.

Ukiwa na mtu wa kukusaidia ku file taxes zako, mfano labda kila tarehe 25 ya mwezi, inakua ni rahisi kwako ku file hizo taxes ndani ya muda na Kuepukana na penalties zinazoepukika.

2. Zijue ni Kodi Zipi unazotakiwa ku file on monthly basis na kila Mwaka.
Wafanya biashara wengi WANASAHAU KU file baadhi ya Taxes hasa hasa SDL, sijui kwanini.
Sijui ni kwa sababu haiimbwi sana au kwa sababu ni kiasi kidogo.

Now, swali linakuja unazijuaje taxes za ku file kila mwezi na za ku file kwa mwaka.?

Well, nimekuandikia E-book inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania" Tax Guide.

Hii ebook itakusaidia kujua hizi Kodi moja baada ya nyingine na kukuepusha na fines ambazo zinaweza kuzuilika na kutumika kama capital kwenye biashara yako.

Kama unaitaka e-book hii nitumie neno "Taxes" WhatsApp kupitia namba 0678131068

Nitakutumia ndani ya dakika 2 Tuu.

Kumbuka ni BURE kabisa hii🫵
 
Back
Top Bottom