Jinsi ya kulala usingizi mtamu kila siku

Jinsi ya kulala usingizi mtamu kila siku

Kulala vibaya sio kama tunapenda sema hutokea kwenye mazingira yafuatayo
1.Madeni
2.Stress za utafutaji
3.Mke mwenye gubu linakununia
4.Mi pombe mshenzi unalala kiasi kwamba ukiamka unajihisi kama jana ulibakwa
5.Kunyimwa gemu na mkeo
6.Kugomba na mke wako
7.Kula kinachopatikana
8.kulala na majeans
9.ONGEZEENI ZENU WADAU
 
Haitakiwi. Fanya hivyo kabla ya muda wa kulala.
Sikia kijana, hii kitu huwa haina usiku wala mchana labda muwe na ratiba mujarabu, vinginevyo hii kitu unaeza kuta asubuhi saa 11:09 unaamshwa na jogoo anawika kwa kishindo.

Mabawa ya mtetea yanagusana na jogoo, nadhani kama umekuwa utakuwa unaelewa what's next!.

But kuna ile ratiba maybe weekend kama hii inaingia, mmeshinda home, ndipo mchana tetea anazunguka ovyo na kanga, mara kajimwagia maji kanga imelowa huko mgongoni chini, nadhani hapo ndipo litakuja hili swala lako la 'kabla ya kulala' 😄!.
 
Oga kabla ya kulala
Huwa siogagi
Kula chakula chepesi na kidogo walau saa moja kabla ya kulala
Usiku huwa nakula mihogo, magimbi na uji
Usinywe maji chini ya saa moja kabla ya kulala.
Sinywagi maji
Hakikisha chumba, matandiko na nguo za kulala ni safi, hakuna chawa, kunguni, etc.
Kitanda changu kina viumbe wanao itwa kunguni
Nguo za kulala ziwe nyepesi na laini
Nalalaga na majinzi
Kitanda kiwe kikubwa na godoro liwe nene.
Godoro langu kama Ulimi.

Ajabu sasa, napiga usingizi sio wa nchi hii, yani nalala hadi naota ndoto nimelala pia
 
Back
Top Bottom