3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Sawa mkuu, mimi ninavyo nitajaribu siku moja, hauna mayai?Mwezi mmoja inatosha ila wakizoea hata wakiwa wakubwa unawapa mara chachechache.
Baadhi ya sifa za mazoea ni:-
Maziwa yana madini
Maziwa yana amino acids
Maziwa yana virutubisho vingi mno zaidi ya hivyo ambavyo ni muhimu kwa kiumbe hususani kipindi cha uchanga.
Badala ya kuhangaika kutafuta damu chokaa dagaa n.k njia mbadala na rahisi ni kuwapatia maziwa na pumba laini.
Jaribu nina uhakika na ninachokitolea ufafanuzi.
Unauzaje yanafaa kutotolesha?Mayai yapo
Mwezi mmoja inatosha ila wakizoea hata wakiwa wakubwa unawapa mara chachechache.
Baadhi ya sifa za mazoea ni:-
Maziwa yana madini
Maziwa yana amino acids,calcium na protini.
Maziwa yana virutubisho vingi mno zaidi ya hivyo ambavyo ni muhimu kwa kiumbe hususani kipindi cha uchanga.
Tanbihi : Tafiti zinaonesha kuku wana uwezo Mdogo wa kumeng'enya lactose.
Badala ya kuhangaika kutafuta damu chokaa dagaa n.k njia mbadala na rahisi ni kuwapatia maziwa na pumba laini.
Jaribu nina uhakika na ninachokitolea ufafanuzi.
Naomba niulize, Ila utanisamehe Kama swali litakuwa lakijinga.Unawezaje kuprove kwamba ni wa kienyeji pure na sio chotara? Hebu tuambie unawezaje kutofautisha Kienyeji pure na Chotara. Kwa sababu watu huwa wanauza chotara kwa jina la kienyeji na now day hata vijijini wamejaa Chotara
Mazingira ninayowapata,Unawezaje kuprove kwamba ni wa kienyeji pure na sio chotara? Hebu tuambie unawezaje kutofautisha Kienyeji pure na Chotara. Kwa sababu watu huwa wanauza chotara kwa jina la kienyeji na now day hata vijijini wamejaa Chotara
Kuku wa kienyeji miguu huwa meusi au njano ila chotara uwe meupe.Unawezaje kuprove kwamba ni wa kienyeji pure na sio chotara? Hebu tuambie unawezaje kutofautisha Kienyeji pure na Chotara. Kwa sababu watu huwa wanauza chotara kwa jina la kienyeji na now day hata vijijini wamejaa Chotara