Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Habari wakuu.
Wanasema wahenga wa kizungu "Ukishindwa kupanga, umepanga kushindwa''.
Hivyo Andaa mpango wa biashara yako kwa kuzingatia maeneo yafuatayo kama nilivyofanya kwa mpango huu wa mafuta ya alizeti.
Business plan hii inalenga kufanya mapinduzi toka mafuta haya ya viwandani kuja mafuta ya Alizeti.Utangulizi imeelezea summary ya mtaji unaohitajika, mauzo tarajiwa na mapato tarajiwa, ambapo target market yangu ilikuwa shule 9 za Boarding zenye watoto jumla 8457.
Sehemu ya kwanza ni marketing Plan ikiwemo namna ya kuwakabili washindani kadri unavyokua, upangaji wa bei soko likibadilika,kujua wateja unaowalenga kabla ya kuanza uzalishaji,
sehemu yapili:Management, namna ya kutumia watu uliowaajiri vizuri na kujua sheria za nchi kwa uliowaajiri
Sehemu ya tatu:Finance; Njia tofauti za kutafutia fedha za mradi, namna bora ya kulipa mkopo, na uandaaji wa ripoti za kifedha.
Sehemu ya nne:Analysis, Kujipima nguvu na udhaifu wako, fursa na hatari zinazokuzunguka
Sehemu ya mwisho: Exit strategy, Jinsi ya kuokoa mtaji wako, iwapo mambo hayakwenda kama ulivyotaraji.
Mussa Zaganza,
Nawasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kuboresha miradi yao
Simu:0713-039875