Jinsi ya kulinda mradi wako kipindi kigumu

Jinsi ya kulinda mradi wako kipindi kigumu

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu.
Wanasema wahenga wa kizungu "Ukishindwa kupanga, umepanga kushindwa''.
Hivyo Andaa mpango wa biashara yako kwa kuzingatia maeneo yafuatayo kama nilivyofanya kwa mpango huu wa mafuta ya alizeti.

Business plan hii inalenga kufanya mapinduzi toka mafuta haya ya viwandani kuja mafuta ya Alizeti.Utangulizi imeelezea summary ya mtaji unaohitajika, mauzo tarajiwa na mapato tarajiwa, ambapo target market yangu ilikuwa shule 9 za Boarding zenye watoto jumla 8457.

Sehemu ya kwanza ni marketing Plan ikiwemo namna ya kuwakabili washindani kadri unavyokua, upangaji wa bei soko likibadilika,kujua wateja unaowalenga kabla ya kuanza uzalishaji,

sehemu yapili:Management, namna ya kutumia watu uliowaajiri vizuri na kujua sheria za nchi kwa uliowaajiri

Sehemu ya tatu:Finance; Njia tofauti za kutafutia fedha za mradi, namna bora ya kulipa mkopo, na uandaaji wa ripoti za kifedha.

Sehemu ya nne:Analysis, Kujipima nguvu na udhaifu wako, fursa na hatari zinazokuzunguka

Sehemu ya mwisho: Exit strategy, Jinsi ya kuokoa mtaji wako, iwapo mambo hayakwenda kama ulivyotaraji.

Mussa Zaganza,
Nawasaidia wafanyabiashara na wajasiriamali kuboresha miradi yao
Simu:0713-039875
 
Hiyo business plan yako inakosa mtiririko mzuri kama unajipima kwenye sehemu ya nne wakati tayari ulishaweka mpango wa masoko kama sehemu ya kwanza , ambayo inategemea kulishwa na taarifa zitokazo kwenye kujipima.

hata hivyo naona tayari una mpango wa kushindwa kwa kuwa na mawazo ya exit strategy, nategemea mbadala wa exit startegy ungekuwa mpango wa marejeo ya andiko la kibiashara kutokana na mabadiliko yanayojitokeza katika mazingira yaliyokuzunguka.
 
Shukrani kwa kujazia. Kumbuka huu mpango pia unawasaidia wanaotanua mradi(tathmini ya 4), Pia unawasaidia wanaoanzisha biashara na kuziuza (Exit strategy)
 
Unalindaje wazo la biashara la mteja?
 
Back
Top Bottom