Jinsi ya kulinda simu yako dhidi ya tracking na wizi wa taarifa zako

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Hapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati.

šŸ›”ļø 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location):

Unawezaje kuzuia?

Zima location: Nenda Settings → Location → Use location → Off.

Zuia apps zinazohitaji location.

Zima Wi-Fi na Bluetooth scanning:
Settings → Location → Location services → Zima Wi-Fi na Bluetooth scanning.

Usitumie ā€œFind My Deviceā€ kama hutaki simu yako ijulikane ulipo.

šŸ”’ 2. Linda Simu, SMS na Simu za Kupiga:

Tumia "Signal app" au "Session" kutuma SMS (zina encryption).

Kwa kupiga simu, tumia Signal au WhatsApp (Ni salama zaidi).

Futa call forwarding kwa kupiga namba ##002#.

Epuka kutumia Wi-Fi za bure unapopiga simu au kutuma meseji.

🧠 3. Zuia Background Tracking na Data harvesting:

Zima Google Location History na Web & App Activity:
Settings →Privacy→ Activity controls.

Tumia VPN kama ProtonVPN au Mullvad.

Futa Advertising ID: Settings→ Privacy → Ads→ futa advertising ID.

šŸ” 4. Imarisha Usalama wa Simu:

Tumia PIN au neno siri gumu ( strong PIN/Passphrase sio TU fingerprint pekee).

Weka simu ijifunge yenyewe baada ya sekunde 15–30.

Washa Google Play Protect na updates za usalama.

šŸ•µšŸ½ā€ā™‚ļø 5. Linda Mtandao na Siri Zako:

Weka Airplane mode kama hutaki mtu akufuatilie.(Inazuia GPS ,Wi-Fi na simu kupatikana).

Tumia Tor Browser au Brave kufungua mtandao kwa usiri.
Usipakue apps nje ya Play Store

Tumia DuckDuckGo App Tracking Protection kuzuia kufuatwa.Usitumie akaunti zako Google au mitandao ya kijamii ukitaka kuwa ā€œinvisibleā€.

Hitimisho: Kwa jumla, njia hizi zikifuatwa kwa umakini zinaweza kulinda simu yako na taarifa zako binafsi dhidi ya udukuzi na ufuatiliaji. Baadhi ya Hizi mbinu hazifanyi kazi kwa iPhone pekee, bali pia kwa simu nyingine zote za Android.
 
Lakin wa enable feature ya kuzuia unsaved numbers kuita kwenye simu
disable random links unazotumiwa kwa whatsapp
 
Ndivyo ulivyoaminishwa
Tatizo akili huwa hamna,kutafakari nako shida,yaani uwe na vifaa vya mawasiliano Bora kuliko jwtz,tiss,polisi,tcra!?.. ndiyo maana mnapelekwa barabarani na Malaya wasimbe waliopo ughaibuni,mnaishia kupopolewa kama swala
 
Nakuonea huruma sana
Hii nchi haina technolojia
Halafu hao operators kama yule shahidi wa jamhuri kwenye kesi ya lissu nilishangaa, hivi Tanzania tupo watupu kiasi hiki?

Likely, mtu kama Kagame anatusoma, kuna siku usije ukashangaa Kumbe ni ujinga wenu.

Tanzania iko backward zaidi ya wewe unavyojua. Hujaishi Ulaya au Marekani au China. Kids do these things
 
Kama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa
Sorry kukwambia unaweza ku dissapear na wasikupate. Unahitaji kufaham specific skills tu

Mfano kidogo kigogo mpaka leo mboneshindwa ku discover identinty yake let alone kumshtaki
 
Unajua nyie wajinga sana, serikali hutumia aina mpya na strong ya teknolojia/mawasiliano,wakichoka ndiyo huja kwa raia,hawaruhusu tech ambayo hawawezi dhibiti
Ungejua Ulinzi wa simu hardware na software usingeongea ujinga wako,au hujui nguvu kiasi gani zinatumika kufanikisha tracking..Bongo watu wanakamatwa sababu network provider wanatoa ushirikiano kwa pigs..
 
Back
Top Bottom