The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Tuondolee uchawa wako hapaKama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa
Sawa..ila huwezi kuwa na mawasiliano imara kuliko vyombo vya ulinzi na usalamaTuondolee uchawa wako hapa
Mbona hamkumpata kigogo? Kwa hawa askari waliokuwa wanatoa ushahidi wa Lisu, ni mjinga tu mtampata.Kama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa
Ndivyo ulivyoaminishwaSawa..ila huwezi kuwa na mawasiliano imara kuliko vyombo vya ulinzi na usalama
Lakin wa enable feature ya kuzuia unsaved numbers kuita kwenye simuHapa nimeleza njia rahisi na salama za kulinda simu yako dhidi ya ufuatiliaji, wizi wa taarifa, na udukuzi, ili kuhakikisha mawasiliano yako na faragha zako zinabaki salama kila wakati.
🛡️ 1. Zuia Watu Kujua Ulipo (Location):
Unawezaje kuzuia?
Zima location: Nenda Settings → Location → Use location → Off.
Zuia apps zinazohitaji location.
Zima Wi-Fi na Bluetooth scanning:
Settings → Location → Location services → Zima Wi-Fi na Bluetooth scanning.
Usitumie “Find My Device” kama hutaki simu yako ijulikane ulipo.
🔒 2. Linda Simu, SMS na Simu za Kupiga:
Tumia "Signal app" au "Session" kutuma SMS (zina encryption).
Kwa kupiga simu, tumia Signal au WhatsApp (Ni salama zaidi).
Futa call forwarding kwa kupiga namba ##002#.
Epuka kutumia Wi-Fi za bure unapopiga simu au kutuma meseji.
🧠 3. Zuia Background Tracking na Data harvesting:
Zima Google Location History na Web & App Activity:
Settings →Privacy→ Activity controls.
Tumia VPN kama ProtonVPN au Mullvad.
Futa Advertising ID: Settings→ Privacy → Ads→ futa advertising ID.
🔐 4. Imarisha Usalama wa Simu:
Tumia PIN au neno siri gumu ( strong PIN/Passphrase sio TU fingerprint pekee).
Weka simu ijifunge yenyewe baada ya sekunde 15–30.
Washa Google Play Protect na updates za usalama.
🕵🏽♂️ 5. Linda Mtandao na Siri Zako:
Weka Airplane mode kama hutaki mtu akufuatilie.(Inazuia GPS ,Wi-Fi na simu kupatikana).
Tumia Tor Browser au Brave kufungua mtandao kwa usiri.
Usipakue apps nje ya Play Store
Tumia DuckDuckGo App Tracking Protection kuzuia kufuatwa.Usitumie akaunti zako Google au mitandao ya kijamii ukitaka kuwa “invisible”.
Hitimisho: Kwa jumla, njia hizi zikifuatwa kwa umakini zinaweza kulinda simu yako na taarifa zako binafsi dhidi ya udukuzi na ufuatiliaji. Baadhi ya Hizi mbinu hazifanyi kazi kwa iPhone pekee, bali pia kwa simu nyingine zote za Android.
Tatizo akili huwa hamna,kutafakari nako shida,yaani uwe na vifaa vya mawasiliano Bora kuliko jwtz,tiss,polisi,tcra!?.. ndiyo maana mnapelekwa barabarani na Malaya wasimbe waliopo ughaibuni,mnaishia kupopolewa kama swalaNdivyo ulivyoaminishwa
Pegasus msg moja tu,chali!Lakin wa enable feature ya kuzuia unsaved numbers kuita kwenye simu
disable random links unazotumiwa kwa whatsapp
Kigogo ni nani,yuko wapi?Mbona hamkumpata kigogo? Kwa hawa askari waliokuwa wanatoa ushahidi wa Lisu, ni mjinga tu mtampata.
Old schoolKama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa
Unajua nyie wajinga sana, serikali hutumia aina mpya na strong ya teknolojia/mawasiliano,wakichoka ndiyo huja kwa raia,hawaruhusu tech ambayo hawawezi dhibitiOld school
Nakuonea huruma sanaTatizo akili huwa hamna,kutafakari nako shida,yaani uwe na vifaa vya mawasiliano Bora kuliko jwtz,tiss,polisi,tcra!?.. ndiyo maana mnapelekwa barabarani na Malaya wasimbe waliopo ughaibuni,mnaishia kupopolewa kama swala
Washukuriwe wayahudiPegasus msg moja tu,chali!
Sorry kukwambia unaweza ku dissapear na wasikupate. Unahitaji kufaham specific skills tuKama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa
Ungejua Ulinzi wa simu hardware na software usingeongea ujinga wako,au hujui nguvu kiasi gani zinatumika kufanikisha tracking..Bongo watu wanakamatwa sababu network provider wanatoa ushirikiano kwa pigs..Unajua nyie wajinga sana, serikali hutumia aina mpya na strong ya teknolojia/mawasiliano,wakichoka ndiyo huja kwa raia,hawaruhusu tech ambayo hawawezi dhibiti