gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
JiliwazeUngejua Ulinzi wa simu hardware na software usingeongea ujinga wako,au hujui nguvu kiasi gani zinatumika kufanikisha tracking..Bongo watu wanakamatwa sababu network provider wanatoa ushirikiano kwa pigs..
Unamjua kigogo,una uhakika yuko salamaSorry kukwambia unaweza ku dissapear na wasikupate. Unahitaji kufaham specific skills tu
Mfano kidogo kigogo mpaka leo mboneshindwa ku discover identinty yake let alone kumshtaki
Ww unamjua? Yupo na anadunda kama kawaUnamjua kigogo,una uhakika yuko salama
Aliyekuwa akimtukana dhalimu magu.Kigogo ni nani,yuko wapi?
Kama wanaokutafuta ni serikali,huna pa kuwakwepa