jinsi ya kulipia applications za vyuo aliyemaliza form six

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia hizo vocha za kuombea vyuo, maana kwenye guidebook naona kua natakiwa kununua nbc lakini bank nimeenda wanasema ninunue kwa mpesa, kea anayejua naomba kuelekezwa please.
 
Kwamba zimeisha au niaje mana naskia vocha zinapatikana nbc
 
Ni hivi mkuu.. Nenda bank ya NBC ukifika pale utakuta zipo zile special risiti za kulipia hiyo 50000Tsh, then unajaza details like jina, then unaenda kwa bank teller unampa na mwisho anakupa hizo vocha.

NOTE
Maswala ya Mpesa ndio nayasikia kwako leo.
 
Mpesa ipo ila siyo kwa waliomaliza form six,na wanaotumia mpesa nadhani deadline ilikua 30/june
 
Labda hukuwaelezea vizuri wanaotakiwa kulipia kwa M-Pesa ni waliomaliza diploma ualimu na NTA Level 6 au labda kama unataka kuomba mkopo Heslb lakini Vinginevyo Form six wote kama unaomba chuo lazima ukalipie NBC bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…