Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia hizo vocha za kuombea vyuo, maana kwenye guidebook naona kua natakiwa kununua nbc lakini bank nimeenda wanasema ninunue kwa mpesa, kea anayejua naomba kuelekezwa please.
Ni hivi mkuu.. Nenda bank ya NBC ukifika pale utakuta zipo zile special risiti za kulipia hiyo 50000Tsh, then unajaza details like jina, then unaenda kwa bank teller unampa na mwisho anakupa hizo vocha.
Labda hukuwaelezea vizuri wanaotakiwa kulipia kwa M-Pesa ni waliomaliza diploma ualimu na NTA Level 6 au labda kama unataka kuomba mkopo Heslb lakini Vinginevyo Form six wote kama unaomba chuo lazima ukalipie NBC bank.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.