Jinsi ya kulipia kwa VISA

Jinsi ya kulipia kwa VISA

Piece of advice kwa Lady Ra. Kama huwa unafanya online purchase mara kwa mara, basi ni bora ukafungua PayPal Account ambayo na ni salama sana! Hizi virtual mastercard huwa zina-expire baada ya muda mfupi; hivyo mara kwa mara utalazimika ku-create virtual card nyingine! Na pia tuseme tu kwamba, PayPal ni much safer kulinganisha na direct use of the card!
 
Ndugu zangu Kwema?

Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees.

Sasa kuna mzigo nataka niagizie safari hii lakini nataka nilipie kwa njia ya VISA. Niko mbali na Benki yangu ilipo hivyo siwezi kwenda kuuliza, wala Customer Care number yao sijaishika kichwani.

Msaada wenu ni namna ya kulipa nje kwa kutumia VISA Online, he kila kadi yenye VISA yaweza kufanya haya malipo?
Msaada please...!!!!
You have to activate your ATM card for you to use Visa
Just go to your bank they will activate it for you there is no other way you have to present yourself to the bank
 
usisahau mrejesho
Yeah,
Nime register,
Nika load hela,
But kila nikiingiza details za hiyo "Card" kule nakofanya malipo (Alibaba) inanijibu kua card ime expire. Hapa napanga nikimaliza mizunguko ya leo niwatafute Voda.
 
You have to activate your ATM card for you to use Visa
Just go to your bank they will activate it for you there is no other way you have to present yourself to the bank
Problem there is no branch for my bank where I am right now, means this has to wait while I am in much need of such product.
 
Ndugu zangu Kwema?

Nimekua nikiagiza vitu nje lakini nimekua nikitumia njia ya Telegraphic Transfer kufanya malipo. Benki yangu imekua ikinikata takribani US$ 50 kama transfer fees.

Sasa kuna mzigo nataka niagizie safari hii lakini nataka nilipie kwa njia ya VISA. Niko mbali na Benki yangu ilipo hivyo siwezi kwenda kuuliza, wala Customer Care number yao sijaishika kichwani.

Msaada wenu ni namna ya kulipa nje kwa kutumia VISA Online, he kila kadi yenye VISA yaweza kufanya haya malipo?
Msaada please...!!!!
Ni bank gani ulikua unatumia?bancABC nao wana hii huduma
 
Yeah,
Nime register,
Nika load hela,
But kila nikiingiza details za hiyo "Card" kule nakofanya malipo (Alibaba) inanijibu kua card ime expire. Hapa napanga nikimaliza mizunguko ya leo niwatafute Voda.
itakuwa umekosea kuweka Expire date .
weka mpangalio huu
1. Weka card namba ya Mpesa
2. Kwenye epire date weka ipo kwa mfano huu 07/12 weka hivyo
3. Kwenye security code weka zile namba tatu za CVV zilizotumwa pamoja na kadi yako ya Mpesa.
 
Niliweka hivyo hivyo,
Itakua ni problem ya supplier nadhani, sababu same product nimeipata kwa Aliexpress nimelipia imekua poa tu.

Nina swali nje ya Mada, hivi unavyolipia kwa kuweka details zako za MasterCard ukikutana na tapeli si anaweza kukuibia? Manake anakua na details zote za MasterCard yako na hakuna popote wewe mwenye hiyo number utatakiwa ku confirm.
 
Swali lako lina majibu ya 50/50% means kuwa hapana na ndiyo, wacha nianze na ndiyo....
kwa kutumia mastercard inaweka pabaya usalama wa pesa yako coz huwezi kuibiwa kwa jinsi unavyosema wewe kwa sababu supplier yeye anapata sms ya kupokea pesa kutoka kwenye mastercard number ila hawezi kuona zile expire date na CVV, ngoja niulize swali ndani ya swali, kwa mfano wewe unapopokea pesa kutoka Mpesa ama mtandao wowote ule je sms inakuja na namba ya siri ya mhusika(aliyekutumia pesa)? au inakuja namba ya simu na majina ya mtumaji?.

Utakuwa umepata jibu tayari kuwa sms inakuja kwa mfumo huu.. X12ZGY123XAW imethibitishwa umepokea laki million kutoka kwa MSUKUMA.COM namba 07**********, ila haiji na namba ya siri ya kwangu, basi ndio hivyo seller anapokea sms ya malipo na link husuka ya bidha ambayo umenunua, hapokea sms yenye expire date na CVV.

Jibu la hapana.
mara chache sana mtu anakutana na matapeli kama hatofuata process kabla ya kununua ikiwemo kuangalia Rating na Awards alizopewa.. Kwa utapeli ninao ujua mimi ni kutumia bidhaa feki au bidhaa inakuwa siyo kama uliyo order.

SASA NDIO maana wanashauri kutumia Trade insuarance ili ilkulinde wewe buyer, ukipokea mzigo na kuthibitisha umepokea ndio sasa Supplier analipwa mpunga wake.

Binafsi nakuwaga na wasiwasi kama nikiona seller nataka nimlipe kwa njia Western Union n.k bcoz pesa yangu inakuwa haiko salama ila kama atakubali nimlipe kwa kutumia PAYPAL, Alipay au au huu mfumo wa Escrow huwa nakuwaga na amani sana na kujiamini coz najua hata kama nikipata mzigo fake bado nitakuwa na nguvu na pesa yangu kuwa nataka new order au Refund.

Nahisi nitakuwa nimejibu swali lako mkuu na umepata mwanga mwingine , iwapo hujapendezwa na majibu yangu unaweza kuuliza tena kwangu au kwa wengine.

Kama kuna typing mistake unaruhusiwa kurekebisha.
 
Hapo nimekupata vilivyo,

Nilikua nimewaza nje ya box kua Supplier fake anaweza kutengeneza platform fake ya MasterCard ukaweka details zako ukijua ni MasterCard kumbe huyo supplier fake (tapeli) anazirekodi tu.
 
Piece of advice kwa Lady Ra. Kama huwa unafanya online purchase mara kwa mara, basi ni bora ukafungua PayPal Account ambayo na ni salama sana! Hizi virtual mastercard huwa zina-expire baada ya muda mfupi; hivyo mara kwa mara utalazimika ku-create virtual card nyingine! Na pia tuseme tu kwamba, PayPal ni much safer kulinganisha na direct use of the card!
Hapo ndo umeweka point naona umenitime tu
 
Hapo nimekupata vilivyo,

Nilikua nimewaza nje ya box kua Supplier fake anaweza kutengeneza platform fake ya MasterCard ukaweka details zako ukijua ni MasterCard kumbe huyo supplier fake (tapeli) anazirekodi tu.
karibu tena mwanamama
 
Hapo ndo umeweka point naona umenitime tu
Yah! PayPal ndio salama zaidi kuliko kutumia card moja kwa moja! Binafsi huwa natumia kadi moja kwa moja kwa vile tu nina online Payoneer Account ambayo nikisema nitumie PayPal itakuwa naingia gharama za ziada kwa kuuza $$$ kwa bei ndogo halafu hapo hapo ninunue tena kwa bei kubwa $$$ zile zile ambazo nimeuza recently!
 
Back
Top Bottom