Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Hahaha aisee dada angu jamaa ana point ati ,mimi kitu nyekundu niliyonayo ni Rubega peke yake ,vinginevyo hata leso ni za draft ,,,Ni aibu ati kwa masai kukatwa hospital ndio maana jamaa kaamua kabisa kutolea mfano ,
Bora hata Maroon
Hapana,unakosea sana...
Nyie mkisikia nyekundu mnajenga picha ya yale mashati ya kung'aa ya harusini...
Mie ukinivalia hivi kwenye dinner date nitakuona wa maana sana.
 

Attachments

  • 1456406794403.jpg
    6.4 KB · Views: 178
Tuwekee na maduka basi zinapopatikana maanake huku Nanjilinji hamna hivyo vitu.....
Hizi ni picha za online tu kaka nimejaribu kuangalia ipi ukivaa na ipi napendeza na kuendana
Ila naamini kwenye mazingira yetu zinapatikana pia.
 
weka mipicha hapa nikumacheshie coz wanaume hamjui rangi, unaweza kusema una shati jekundu kumbe orange, au shati la blue kumbe kijani..........hahahaha pole pole msinishushue
huyo labda atakuwa kipofu.
 
wadau nimenunua surual ya brown matata sana, imesimama ile mbaya. but napata kigugumiz ni match na shat rag gan? sina shati jeupe plain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…