Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha kuna mapazia fulani yalikuwa kama yanateleza fulani hivi, nusu nigongwe na baiskeli Nzega kwa kushangaa , wasukuma wameshona sare. Mashemeji zako wamenishinda tabia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenzangu! Shemeji zangu nao hawajambo kwa kunisuprise[emoji134]