Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Hahaha kuna mapazia fulani yalikuwa kama yanateleza fulani hivi, nusu nigongwe na baiskeli Nzega kwa kushangaa , wasukuma wameshona sare. Mashemeji zako wamenishinda tabia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee sio kwa kunivunja mbavu huko jamani, yaani we acha tu, kuna mmoja huyo anavaaga suti nyekundu,tai ya blue,shati la kung'aa la njano na kiatu cheupe, ukimuona kama kipepeo.

Mie sielewi ni colour blindness au ni kitu gani[emoji134]
 
ha ha ha ha ha ha hivi Wasukuma tumewakosea nini? Yaani mkiona mshamba huko mtaani ni Msukuma......
 
Hehehe huyo anataka kuwa "rainbow".
Kuna hiyo nyingine nilicheka hadi machozi. Ngoja msukuma atuwowe Kwanza ndo ntakusimulia, otherwise ataghairi kabisa. I LOVE IS WASUKUMA
 
Hehehe huyo anataka kuwa "rainbow".
Kuna hiyo nyingine nilicheka hadi machozi. Ngoja msukuma atuwowe Kwanza ndo ntakusimulia, otherwise ataghairi kabisa. I LOVE IS WASUKUMA
Hahahaaaa! Kwakweli i love is msukuma, RRONDO atakuchapaaa!
 
Heheh kumbe na yeye ni shemeji ako mwee? Kina ngosha wananifurahishaga mno (soma kwa kukandamiza
Hapo kwenye kuongea ndio huwa nahisi wanaumia aisee[emoji85] [emoji85]
 
Hapo kwenye kuongea ndio huwa nahisi wanaumia aisee[emoji85] [emoji85]
Hehehe wameshazoeaga wenyewe. Sasa usiombe ukutane na brazaman wa kisukuma, ile anaanza kuongea tu . ..mkandamizo oyeee (yani wanasisitiza kila herufi ya kwanza na ya mwisho ya neno). Nawapendaga Tu Jamani
 
Hehehe wameshazoeaga wenyewe. Sasa usiombe ukutane na brazaman wa kisukuma, ile anaanza kuongea tu . ..mkandamizo oyeee (yani wanasisitiza kila herufi ya kwanza ya neno). Nawapendaga Tu Jamani
Ile ongea yao naipenda inanifurahisha[emoji23]
 
Hivi suruale nyeupe inaendana na shati gani.maana nina suruali yangu ila nashindwa kuivaa mara nyingi.
 
Hapana,unakosea sana...
Nyie mkisikia nyekundu mnajenga picha ya yale mashati ya kung'aa ya harusini...
Mie ukinivalia hivi kwenye dinner date nitakuona wa maana sana.
Thats fantastic
 
Ile ongea yao naipenda inanifurahisha[emoji23]
Hehehe wameshazoeaga wenyewe. Sasa usiombe ukutane na brazaman wa kisukuma, ile anaanza kuongea tu . ..mkandamizo oyeee (yani wanasisitiza kila herufi ya kwanza na ya mwisho ya neno). Nawapendaga Tu Jamani
Hapo kwenye kuongea ndio huwa nahisi wanaumia aisee[emoji85] [emoji85]
Heheh kumbe na yeye ni shemeji ako mwee? Kina ngosha wananifurahishaga mno (soma kwa kukandamiza
Ukabila wa nini tena kwenye mambo ya mavazi??!! Hebu tuacheni na ushamba wetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…