Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Hahaaaa! Hebu waache shemeji zangu.
mm mwenyewe wa uko ndo maana nawasema maana wanaume wetu ni washamba
anavaa suti na pekosi huku ameweka masikioni mwake zile eyephone za studio wanarekodia na mkononi
kashika redio kubwa anatembea kwenda shamba wewe uliona wapi suti kuvaliwa shamba hahahahhaaa (jokes)
 
Duh kweli mmetupania....
sijakupania shem jamani ndivyo ilivyo lakini halafu nimesahau kitu
mnashika redio kubwa mkononi huku mumeweka eyephone za studio shem hahahahahaaaaaaa (jokes)
Hivi suruale nyeupe inaendana na shati gani.maana nina suruali yangu ila nashindwa kuivaa mara nyingi.

inaendana na shati jeusi au jekundu hv au njano
 
Kwa msukuma hilo linawezekana kabisaa, hata suti na sandles.
 
Mavazi yanategemeana na rangi ya mwili wako but mostly shari jekundu linaendana na suruali black,cardet kaki,dark blue jeans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…