Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

We hata ujue kuvaaje ila ukija ofisini hapa unakutana na sare ZETU...fashion hukoooooo
 
Katika mavazi tunavaa kwa kuangalia 1.unaenda wapi 2.Muda gani unamtoko 3.Unatumia usafiri gani (miguu au mzungu) 4.Utakaa huko unapoenda kwa muda gani? Mwisho ndio tunakuja na Rangi.

Sema trust me Vaaa vyovyote ujuavyo cha muhimu UNUKIE na UWE MSAFI....bila kusahau vaaaa UVAAVYO ukikosa Kitu mkononi kama SAA hupendezi...kwa mdada Ukikosa Hereni,cheni Hupendezi Uko incomplete....na kwa wadada pia Kuvaa na TEMBEA mvae TEMBEA za kueleweka.
 
Umeongea points tupu mkuu
 
Hata wakaka yanatukutaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Kakitambi kakufutia simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…