Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Yani hakuna rangi nayoipendaga duniani kama bluu ya kuiva aaah! acha kabisa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sangoma.comlina nin?
habari zenu wakuu, naomba msaada kwa wale wajuz na wazoefu wa masuala ya mavazi. nataka kujua rangi ipi ya nguo inaendana na ipi? kwa mfano shati jekundu lina match na surual gan! mwenye elimu si vibaya tuka share. karibuni sana.
Mtani una macho makali unaona mpaka vya ndani....?? Bila shaka unajua mpaka size ya kitendea kazi kabla ya kazi....Bukta ya ndani lekundu.. Mi sijui ni kabila gani?
Nilimkadiria anayo ndefu balaa .. Mtani kuna maeneo macho hupenda kuangaliaMtani una macho makali unaona mpaka vya ndani....?? Bila shaka unajua mpaka size ya kitendea kazi kabla ya kazi....
Haaaaahaaa! umedetiwa mara ngap tang uzaliwe? mana inaonyesha unapend datingNa saa hiyo ndio amekudate........ kakualika kinywaji kwa mara ya kwanza........
Khee mtani huwa zinakufanya usome namba ?Mkuu usijaribu kuva nguo ya kijani...huwa zina mikosi....
PoleHehehehehe dah aisee
Nusura nipaliwe
suruali hapana mkuu....ila shati sawa uipige na black trousers and shoesmaaruf ni hizi; surual nyeusi ina match na shati zote. surual ya kak iliyokoza ina match na shat nyeusi,damu ya mzee (nyingine utaongezea). surual zambarau na shat jeusi.
hapa ongezea na Dark Blue.......na black zenye mistari kwa mbaliRangi bomba za suruali ni brown, black na kijivu,
mashati yenye maua yanaboa.
ila ukivalia lenye drafts au mistari ya size ya kati create a gentle look.
Hahahahaaaaa maeneo hatarishi....Nilimkadiria anayo ndefu balaa .. Mtani kuna maeneo macho hupenda kuangalia
Yaani mtani nikivaa nguo ya kijani...inaweza pita hata week sikamati hata mia mtani....zile nguo ni balaa......nadhani zimelaaniwa......Khee mtani huwa zinakufanya usome namba ?
Ha ha mtani usivae tenaYaani mtani nikivaa nguo ya kijani...inaweza pita hata week sikamati hata mia mtani....zile nguo ni balaa......nadhani zimelaaniwa......
Kama ni kwenye bizness ndio kabisa usizivae labda kama biashara yako unafanyia maeneo ya lumumba....