Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Weee em kuwa serious basi, me nifanye application. tumwili adimu sana, ntajishauaje sasasasa unasubiri nini? Nipo hapa......
Ila itabidi unaifanyie trainging ya kuvaa....nitakupa hela to upgrade my wardrobeWeee em kuwa serious basi, me nifanye application. tumwili adimu sana, ntajishauaje sasa
Jamani hilo mbona hata sio la kuongea, lishapita. Kuna kingine?Ila itabidi unaifanyie trainging ya kuvaa....nitakupa hela to upgrade my wardrobe
mhh unafuatwa na nyoka naskia??Mkuu usijaribu kuva nguo ya kijani...huwa zina mikosi....
we unajua kuvaa trust me...,..hapa ongezea na Dark Blue.......na black zenye mistari kwa mbali
teh tehsio za vijana wa siku hizi hahaa saa kubwa hatari hiyo hapana.
On a serious note, mtu anayevaa oversize huwa hata hanibariki. Ka mtu kana mwili mdogo kanaenda kushona suruali metre 6, shati halijulikani kama ni la mikono mirefu au mifupi afu kubwa hadi kwapa linaning'inia
Kuna wale pia wanavalia suruali tumboni, huku juu suruali nyembamba basi unakuta huku nyuma kidume kijungu kinatuna ndiiii, loooh
Na kuna zile people zinavaaga moka nyeupe aiseeeeeeee
haya mkimaliza mniPm size za mashati mambo ya slimfit na cadert bei poa sana available kwangu, matisheti form six na v pia
Zinamlaza mapemaKhee mtani huwa zinakufanya usome namba ?
huwa navaa suti mara chache sana lakini nikivaa suti lazima ukubali....napenda kuvaa suits,...
ntaanza kuvaa nkiwa na gari,...
wengi wanakosea hapa kuvaa suit na kugombania magar g/mboto..,,
wanadhalilisha haka kavazz
mkuu kavaz kazur sana....haswa ukikajuliahuwa navaa suti mara chache sana lakini nikivaa suti lazima ukubali....
mkuu sio style hii kwa kweli....mi navaa suit za kiingereza sio buggy hizomkuu kavaz kazur sana....haswa ukikajulia
Hahaa haamfanyakazi wa bar au restaurant?!
Ha ha haZinamlaza mapema
hali ya hewa ya Dar hairuhusu ila hio ilikuwa style naipenda sana......Koh Koh kuna ile style wakaka wanavaa mashati/masweta afu wanayavuta vuta hadi kwenye viwiko hapa (kama wamekunja hivi but hayakunjwi), basi najikutaga natabasamu tu
Mweee sasa mbona ntakutumia applications nyingi nyingi teh. Hii nayo ni kama nazozisemea, sasa ile nyingine ni mtu anavaa tu shati la kawaida la mikono mirefu (well fitted) then ndo analivuta hadi kwenye kiwiko, so hadi wa dar wanavaa tu.hali ya hewa ya Dar hairuhusu ila hio ilikuwa style naipenda sana......
chini namalizia na TIM BOOTS......