Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
body yako/face/dental formula...ila kuwa makini ma model wengi huwa gays......Napenda saaana Casual wear costumes.
Hivi what does it takes kuwa model professionaly!? Nataka kujaribu fortune yangu huko.
I like this shitMwanaume mara nyingi kaa mbali na pink(feminine) and purple(gay anonymous?).
Kama unachomekea, kiatu ki-match mkanda. Always.
Must have a mean or cool shoe game. Don't have one, purchase one.
Attitude to go with your gear.
Hehehehe duuuuOn a serious note, mtu anayevaa oversize huwa hata hanibariki. Ka mtu kana mwili mdogo kanaenda kushona suruali metre 6, shati halijulikani kama ni la mikono mirefu au mifupi afu kubwa hadi kwapa linaning'inia
Kuna wale pia wanavalia suruali tumboni, huku juu suruali nyembamba basi unakuta huku nyuma kidume kijungu kinatuna ndiiii, loooh
Na kuna zile people zinavaaga moka nyeupe aiseeeeeeee
Nadhan utakua unaenda kuroga mkuu haiwezekani wallahNdo umeamua kurevenge sasa..Basi kesho napiga ile moka nyeupe,suruali nyekundu na shati la kijani ili uje kuongea vizuri
Hahaha ongezea banaHehehehe duuuu
I cant add more aiseee
Pink=faminineNimecheka kwa sauti sana aisee... hata shati la pink sio vazi zuri sana kwa mwanaume ... Vaa shat ama la draft ndogo ndogo au kubwa kiasi vaa shart la mistari midogo kwa mbali kama limezidiwa na brown suruali iwe brown kama limezidiwa na black suruali iwe black hivyo hivyo kama ni khaki... nadhani rangi nzuri kwa mwanaume ni brown, khaki kuna na green flan hivi kama ya jeshi na black.... kama ni tshet tupia surual ya jeans au cadet yako moja matata sana. Rangi nyingine ni kujichosha tuu kwa a man
Teh teh..Naenda kuigiza Nsyuka part 4Nadhan utakua unaenda kuroga mkuu haiwezekani wallah
hahaha mbona unapita mulemule shogaaa hapo ndo penyewe sasaa uwiii, af ukute na kamkono kameshiba na kasaa kametulia,, sitaki Mimi jamaniiiiii...Koh Koh kuna ile style wakaka wanavaa mashati/masweta afu wanayavuta vuta hadi kwenye viwiko hapa (kama wamekunja hivi but hayakunjwi), basi najikutaga natabasamu tu
Mimi ugonjwa wangu ni surali za kadeti na mashati ya drafti baasi.Rangi bomba za suruali ni brown, black na kijivu,
mashati yenye maua yanaboa.
ila ukivalia lenye drafts au mistari ya size ya kati create a gentle look.
Preta we ni kilakaHivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
UncleBen njoo uone hili popoma linasema nini!2012 nililetewa zawadi ya shirt jekundu kama zawadi na mtu nnayemheshimu nikaona isiwe inshu sana, kesho yake nikalirudisha dukan Uzuri najua anako nunulia nguo nikabadilishiwa.. Siwezi vaa shirt jekundu kabisa najiona kama mmasai aliyetahiriwa hospital badala ya jando
Umesahau na ile mikanda yao yenye bonge la bakozi[emoji85] [emoji85]Na saa hiyo ndio amekudate........ kakualika kinywaji kwa mara ya kwanza........
Umesahau na ile mikanda yao yenye bonge la bakozi[emoji85] [emoji85]
Halafu ndo umkute anapenda sifa kila saa kupigia rafiki zake kuwapa taarifa "niko na shemeji yenu hapa" wakati mtu huna hata mpango wa kufikiria ombi lake.Au kiatu kinatoa ulimi nje kama umbwa......lolololololo......aisee.....
Kunimaliza kabisa......uvae na suruale iliyokubana eti modo......uwiiiiiii......nakufwaaaa......
Halafu ndo umkute anapenda sifa kila saa kupigia rafiki zake kuwapa taarifa "niko na shemeji yenu hapa" wakati mtu huna hata mpango wa kufikiria ombi lake.
Na perfum yake ya 3500 halafu ya kike.... Wanawake sisi tunavumilia mengi
Ni shiiiiiiiiiiiiiiiiida [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ha ha ha.......wanawake tuna adhabu jamani.....hebu niambie ni nini hicho sasa.......
Na vile hatuwezi jilazimisha kuingiza rohoni......uwiiiii......kazi ni kubwa......
Hahaha mbona unatuua sana jamani ?Halafu ndo umkute anapenda sifa kila saa kupigia rafiki zake kuwapa taarifa "niko na shemeji yenu hapa" wakati mtu huna hata mpango wa kufikiria ombi lake.
Na perfum yake ya 3500 halafu ya kike.... Wanawake sisi tunavumilia mengi