Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Napenda saaana Casual wear costumes.

Hivi what does it takes kuwa model professionaly!? Nataka kujaribu fortune yangu huko.
 
Attachments

  • 1456336171351.jpg
    1456336171351.jpg
    92.6 KB · Views: 156
  • 1456336203796.jpg
    1456336203796.jpg
    71.4 KB · Views: 158
  • 1456336225054.jpg
    1456336225054.jpg
    83.8 KB · Views: 172
On a serious note, mtu anayevaa oversize huwa hata hanibariki. Ka mtu kana mwili mdogo kanaenda kushona suruali metre 6, shati halijulikani kama ni la mikono mirefu au mifupi afu kubwa hadi kwapa linaning'inia

Kuna wale pia wanavalia suruali tumboni, huku juu suruali nyembamba basi unakuta huku nyuma kidume kijungu kinatuna ndiiii, loooh

Na kuna zile people zinavaaga moka nyeupe aiseeeeeeee
Hehehehe duuuu
I cant add more aiseee
 
Nimecheka kwa sauti sana aisee... hata shati la pink sio vazi zuri sana kwa mwanaume ... Vaa shat ama la draft ndogo ndogo au kubwa kiasi vaa shart la mistari midogo kwa mbali kama limezidiwa na brown suruali iwe brown kama limezidiwa na black suruali iwe black hivyo hivyo kama ni khaki... nadhani rangi nzuri kwa mwanaume ni brown, khaki kuna na green flan hivi kama ya jeshi na black.... kama ni tshet tupia surual ya jeans au cadet yako moja matata sana. Rangi nyingine ni kujichosha tuu kwa a man
Pink=faminine
 
Hivi rangi tanashati za nguo kwa mwanaume ni zipi.......?.....kwa sababu kwangu mimi ukinivalia shati jekundu nakuona kama Poacher.....ila ukitupia tshirt nyekundu na jeans flan amaizing.......nakuona kama Taye Diggs........
Preta we ni kilaka
 
2012 nililetewa zawadi ya shirt jekundu kama zawadi na mtu nnayemheshimu nikaona isiwe inshu sana, kesho yake nikalirudisha dukan Uzuri najua anako nunulia nguo nikabadilishiwa.. Siwezi vaa shirt jekundu kabisa najiona kama mmasai aliyetahiriwa hospital badala ya jando
UncleBen njoo uone hili popoma linasema nini!
 
Umesahau na ile mikanda yao yenye bonge la bakozi[emoji85] [emoji85]

Au kiatu kinatoa ulimi nje kama umbwa......lolololololo......aisee.....
Kunimaliza kabisa......uvae na suruale iliyokubana eti modo......uwiiiiiii......nakufwaaaa......
 
Au kiatu kinatoa ulimi nje kama umbwa......lolololololo......aisee.....
Kunimaliza kabisa......uvae na suruale iliyokubana eti modo......uwiiiiiii......nakufwaaaa......
Halafu ndo umkute anapenda sifa kila saa kupigia rafiki zake kuwapa taarifa "niko na shemeji yenu hapa" wakati mtu huna hata mpango wa kufikiria ombi lake.
Na perfum yake ya 3500 halafu ya kike.... Wanawake sisi tunavumilia mengi
 
Ha ha ha.......wanawake tuna adhabu jamani.....hebu niambie ni nini hicho sasa.......
Na vile hatuwezi jilazimisha kuingiza rohoni......uwiiiii......kazi ni kubwa......
 
Ha ha ha.......wanawake tuna adhabu jamani.....hebu niambie ni nini hicho sasa.......
Na vile hatuwezi jilazimisha kuingiza rohoni......uwiiiii......kazi ni kubwa......
Ni shiiiiiiiiiiiiiiiiida [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Halafu ndo umkute anapenda sifa kila saa kupigia rafiki zake kuwapa taarifa "niko na shemeji yenu hapa" wakati mtu huna hata mpango wa kufikiria ombi lake.
Na perfum yake ya 3500 halafu ya kike.... Wanawake sisi tunavumilia mengi
Hahaha mbona unatuua sana jamani ?
 
Back
Top Bottom