Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

1456383554874.jpg
 
weka mipicha hapa nikumacheshie coz wanaume hamjui rangi, unaweza kusema una shati jekundu kumbe orange, au shati la blue kumbe kijani..........hahahaha pole pole msinishushue
 
Hizo nilizotupia naona kama ziko poa zinaendana , wewe unaonaje ?
 
weka mipicha hapa nikumacheshie coz wanaume hamjui rangi, unaweza kusema una shati jekundu kumbe orange, au shati la blue kumbe kijani..........hahahaha pole pole msinishushue
ni kweli wanaume wengi hawajui rangi.
 
UncleBen njoo uone hili popoma linasema nini!
Unaweza kuniambia kwa nini umeniita popoma?Kuna sehemu yoyote kwenye post zangu nineshawahi kukuita hayo majina yako unayoitana na GENTAMYCINE. Sikia we kinuka mkojo unajionaga siku hizi ni super star wa humu jf kama una bahati ya kua umebakishiwa rinda hata moja niite niondoe rinda lililobaki, kama huna rinda uje na KY wkt una reply.
 
Back
Top Bottom